Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na rushwa. Shauri kuendelea kesho Nov, 2, 2021

Shahidi: Akaendelea na Upekuzi, alipofika Upande wa Kulia akakuta Vitu vidogo vidogo Kwenye Karatasi ya Nailon akasema inasadikiwa ni Madawa ya Kulevya ila itajulikana Mbele.

Wakili wa Serikali: Zilikuwa ngapi Shahidi: 58

Ha ha ha, muuza mbege wewe si wa kawaida... afande akakuhesabia hadi kete ?
 
Gaidi damu ya Chacha wangwe inamlilia lazima afungwe
Magufuli e.k.e jiwe ndiye aliyekula damu za watu sanaaaa kuuwa,kuteka, aunyanganyi,kuiba, na kila aina ya udhalimu akajiona Mungu mtu leo amekuwa udongo.

Tatizo hamjui kuwamezesha ushahidi hawo makuwadi wenu.

huyo ameshafeli mapema.

Kafundisheni wengine haraka sana.




Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Shahidi: Anita Varelian Mtali
Anita kwa uongo huo, unajilaani wewe na kizazi chako !! acha kabisa kutoa ushahidi wa urongo kwa mambo ambayo mshitakiwa hakutenda, ni laana mbaya sana unajitafutia, hizi Serikali za nchi zinapita tu ila laana itakuwa ndani yako na uzao wako, walio karibu na wewe wakwambie mapema.

 
Huyu asubirie maswali mafumu toka kwa Kibatara na wenzake.

Huyu lazima aombe poa. Muda utafika tu.
 
Muuza mbege anaoneshwa namba mara moja na majina matatu matatu ya watuhumiwa anayakumbuka mpaka leo! Huyu ni askari wa upelelezi.
 
Unaona kabisa kafundishwa, atakumbana na maswali, time will tell soon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…