Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na rushwa. Shauri kuendelea kesho Nov, 2, 2021

Shahidi namba 4 kashamkana shahidi namba 1 ambaye ndiye alikuwa kiongozi wa ukamataji wa watuhumiwa.

Shahidi namba 4 anasema Jumanne ndiye alikuwa kiongozi, wakati shahidi namba 1 alidai yeye ndiye alikuwa kiongozi.

Patamu hapoooo[emoji23]
 
Maelezo ya shahidi kwenye statement na mahakamani anavyoelezea anajipinga mwenyewe

Mahakamani anasema alikuta kete 25 wakati kwenye statement kasema kete 21
Hawa mashahidi pamoja na polisi ni vilaza wote, mtu akichoandika na anachoeleza havina uhusiano kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…