Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na rushwa. Shauri kuendelea kesho Nov, 2, 2021

Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na rushwa. Shauri kuendelea kesho Nov, 2, 2021

mwanzo pale shahidi anapo anaanza kuhojiwa na wakili wa serikali unaweza kudhani basi maelezo anayotoa yako sahihi asilimia 100 na kesi imeisha,sasa subili kimbembe cha upande wa pili cha mawakili wa utetezi,mmh hakika ni yetu macho na masikio.
 
Kumbe Askari waliacha Watu wengine ambao ni ndugu Wa Mtuhumiwa wakaenda kuchukua Shahidi wanao mtaka yeye. Maana Kibatala ni FUNDI anaujua huo Mtaa kuliko Shahidi [emoji28].

Huyu Kibatala, Mallya na Motesbya Serikali ingewaajiri Hawa Ni Vichwa Haswa. Shahidi wa leo kumbe ni Mgonjwa Wa Macho, Anashida Ya Brain hasa kwenye Kumbukumbu, Hajui Chata ni nini na Chapa Ni nini ila Anajua Magazine inapokaa.
Hata mawakili wa serekali wako vizuri, tatizo ni hao wateja wao hewa (policcm) wanaotumia nguvu nyingi kuliko akili wakijiona wababe wasijue kuwa mahakamani silaha kuu ni lugha na umakini uliokwenda shule!

Nawaonea huruma sana mawakili wa serekali, wanashindwa kesi kwa uzembe wa mteja wao. Lakini wafanyeje sasa? Mwisho wa siku familia zao zitahitaji kutupa tonge kinywani!
 
Serikali Ina Mashahidi Wangapi? Nafikiri na ni sahihi kwamba Baada ya Kingai, Yule msaidizi wa Sabaya na Yule wa Kukagua Silaha hakuna Shahidi mwingine wa maana atakaye tokea kwenye hii kesi. Naona Sasa Mashahidi wanaokotwa, Muuza Mbege, Kesho sijui shahidi gani ataletwa.
Kesho nadhani watamleta dada Esther mwenye ile grocery ambayo washtakiwa Adamoo na Moh'd Lingwenya walikuwa wanakata kilaji. Nataka atuambie alikuwa anawapa hizo bia bure ama vp?
 
Ilitakiwa akina Kibatala waombe kitambulisho cha NIDA cha huyo dada waoanishe majina, sura na saini yake. Hapo watapata taarifa za kweli pamoja na umri wake aliotaja mahakamani.
Sijui imekuwaje mawakili hawa wamepitiwa kuhusu hili. Kuna jambo haliko sawa hata kidogo kuhusu huyu shahidi.
 
Kumbe Askari waliacha Watu wengine ambao ni ndugu Wa Mtuhumiwa wakaenda kuchukua Shahidi wanao mtaka yeye. Maana Kibatala ni FUNDI anaujua huo Mtaa kuliko Shahidi [emoji28].

Huyu Kibatala, Mallya na Motesbya Serikali ingewaajiri Hawa Ni Vichwa Haswa. Shahidi wa leo kumbe ni Mgonjwa Wa Macho, Anashida Ya Brain hasa kwenye Kumbukumbu, Hajui Chata ni nini na Chapa Ni nini ila Anajua Magazine inapokaa.
Sasa wakiajiriwa serikali tukibambikiwa kesi tutasaidiwa na nani?
 
Huwa mnakenua meno hivi hivi alafu mkipigwa na vitu vizito mnaanza kulia!

Yani mnafurahia hizo porojo za kina kibatala wenzenu kuna vitu wanangalia zaidi ya hizo porojo
Mambo gani ambayo hata wewe mwenyewe huyajui na huwezi kuyataja?

Hebu yataje tuone kama unafahamu chochote.
 
Hamna kesi ya ajabu isiyoisha.
Maswali ya kifala majibu ya kijinga inapigwa kalenda watu wanatafuna posho zao siku zinaenda.
 
Afisa wa Tiss hawezi kujiexpose hivyo kwenye public.

Kwanza hata hujui kazi ya Tiss ni nini.

na sabaya ambaye alijipa kazi ya TISS kilichotokea na mpaka kupewa mkuu wa wilaya na jambazi sugu.

tatizo ccm kujijitea mfahamu mnabaki kutumia nguvu kwa kivuli cha polisi na wasiojulikana
 
Huwa mnakenua meno hivi hivi alafu mkipigwa na vitu vizito mnaanza kulia!

Yani mnafurahia hizo porojo za kina kibatala wenzenu kuna vitu wanangalia zaidi ya hizo porojo
Bora porojo kuliko kuwa lofa , na usivyo na akili unafikiri unaweza kupiga watu vitu vizito na wewe ukawa salama, waliopiga watu vitu vizito wako wapi sasa nina uhakika huko walipo hawalali na kuna watu wapo kazini 24 hours kuwasaka kulipiza kisasi, akili za kina sabaya na makonda nyie
 
tunaiomba mahakama itoe mapumziko japo ya wiki 2 maana inaonekana mze mboe kachoka sana. wapewe breki kidogo.
 
Back
Top Bottom