Kumbe unajua. Sasa uachage kuuliza majibu[emoji41]
Mkuu umesema mwanaume sio uume?
Upo vizuri, ila umefanana nae mkuuhapana mkuu siyo mimi
Halafu akatumia bil 200 kujenga international airport kijijini kwake na hiyo airport kwa sasa inatumiwa kukaushia mazao.Huyo ni HAKAINDE wa Zambia, huku kwetu JPM hakutaka hata daraja la chini wala maafisa2. Na kila kiongozi ana maono yake
Mabalozi wanaelewa
huyo naye hata hajui sheria anajikanyaga tu mpaka jaji anamuumbua atoke hapo