Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

Serikali inajua Ukweli inaosmamia halafu wakati huohuo Inaogopa wananchi wenyenchi wasijue ukweli huo? Kwa hyo Serikali inaamua kufungulia kesi feki Raia wasio na hatia? Kwanini iwe dhambi wananchi kuingia kwa mahakama zao kujua na kujifunza juu ya madhara ya kutenda jinai ? Kwanini jamani?
Kama iliweza wabambika mashehe wa uhamsho na wazee wa escrow kukaaa ndani miaka ishindwe Vipi.Hii serikali haina aibu.Sasa kama ni feki watawaruhusu Vipi watu kuingia ndani.
 
Kwanza kawaulize hawo waliombakia kesi PGO maana yake nini.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Nikawaulize nini - maana ya PGO!? Wanaifahamu sana ila hawataki kujibu kwa nia na lengo la kuwa - frustrate wauliza maswali ya kwenye vitabu vya James Hardley Chase, if you know what I mean! Si unajua muulizwa maswali anayo haki ya kujibu au kunyamaza!
 
Back
Top Bottom