Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

Sikiliza ndugu ,unatafuta laana katika maisha Kwa sababu ya umaskini wako.

Huku ni liko tuna mtu mmoja alikuwa napiga kelele sana kipindi cha Magufuli akifurahia sana LISSU kupigwa risas
Huyo Mataga alifikwa na msiba hebu tunaomba utaje hata herufi ya mwanzo tu tumjue tutaunganisha dot Mkuu!
 
Wafuasi wa mwendazake wengi no vihiyo huwa hawana reasoning yeyote

Kuna mzee mmoja alikuwa kafa kaoza kwa mwendazake nilimwambia huyo huyo jamaa yako sio kabisa achana nae

Unajua nini!?

Mzee alikuja bomolewa nyumba pale kimara akaambulia madirisha tu ya chuma Hana hamu na mwenda zake Hadi leo[emoji1]
Sasa Kama Mzee mwenyewe ndiyo alijenga kwenye hifadhi ya barabara,hapo Mwendazake analaumiwaje!? Tii Sheria bila shuruti popote pale ulipo hata Kama Mamlaka hazikuoni!!
 
Sikiliza ndugu ,unatafuta laana katika Maisha Kwa sababu ya umaskini wako.

Huku ni liko tuna MTU Mmoja alikuwa napiga kelele sana kipindi cha Magufuli akifurahia sana LISSU kupigwa Risasi akifurahia sana Ben saanane kupotezwa .Leo hii anamuuguza Mama yake Kwa kansa ya isiyopona Mungu hakuacha tu Hilo akamwadhibu amepata ajali amekatwa mguu ni mlemavu!Mke wake alijifungua akatokwa na damu nyingi (PPH) akafariki,ameacha kitoto kichanga.Alikuwa ni maarufu sana humu Jamii forum Sasa hivi hata simu ya smartphone hana.CCM aliyosababisha laana kwake ilimpa msaada Kwa kuchangishana Kwa kumuuguza Mama yake ikachoka.Juzi ananiambia ni afadhali ningekufa tu .Watu wasionahuruma huwa Wana mkumbusha kuhusu LISSU .

akilinene nakukumbusha Kama nilivyomwambia ndugu yako zandrano kuwa usijaribu sana kumuombea ndugu yako mabaya Kwa sababu ya njaa,Usijaribu kuomba kifo Kwa ndugu yako Kwasababu ya 7000/-.
USSR Magufuri alitamani sana LISSU afe lakini akafa yeye kwanza.

Leo hii mnatamani MBOWE afungwe bila hatia yoyote,Lakini mwaka huu Kabla haujaisha,Mungu mwenye kuhukumu ya kweli at waonesha Na kuwafundisha.

Huyu mwenzenu mpaka PolePole alikuwa anamkubali Leo hii anateseka
Una tatizo wewe kufikiri u
Sikiliza ndugu ,unatafuta laana katika maisha Kwa sababu ya umaskini wako.

Huku ni liko tuna mtu mmoja alikuwa napiga kelele sana kipindi cha Magufuli akifurahia sana LISSU kupigwa risasi akifurahia sana Ben saanane kupotezwa .Leo hii anamuuguza Mama yake Kwa kansa(CA OF LIVER) isiyopona Mungu hakuacha tu hilo akamwadhibu amepata ajali amekatwa mguu ni mlemavu!Mke wake alijifungua akatokwa na damu nyingi (PPH) akafariki,ameacha kitoto kichanga.Alikuwa ni maarufu sana humu Jamii forum Sasa hivi hata simu ya smartphone hana.CCM aliyosababisha laana kwake ilimpa msaada Kwa kuchangishana kwa kumuuguza Mama yake ikachoka.Juzi ananiambia ni afadhali ningekufa tu .Watu wasionahuruma huwa Wana mkumbusha kuhusu LISSU .

Inaonekana una roho ya kuamini sana sana katika laana. Nakushauri usome zaburi 109:17 inayosema yeye apendaye kulaani na kutamka laana kwa wengine na asitamke mibaraka , basi laana hiyo humpata yeye.
Hivi unajua ukatili anayofanya gaidi.? Juzi umeona gaidi Hamza amekatisha maisha ya watanzania wenzetu wasiokuwa na hatia. Leo hutaki yule mahakama itayothibitisha pasipo ma shake kuwa ni gaidi asifungwe jela?
Sikiliza ndugu ,unatafuta laana katika maisha Kwa sababu ya umaskini wako.

Huku ni liko tuna mtu mmoja alikuwa napiga kelele sana kipindi cha Magufuli akifurahia sana LISSU kupigwa risasi akifurahia sana Ben saanane kupotezwa .Leo hii anamuuguza Mama yake Kwa kansa(CA OF LIVER) isiyopona Mungu hakuacha tu hilo akamwadhibu amepata ajali amekatwa mguu ni mlemavu!Mke wake alijifungua akatokwa na damu nyingi (PPH) akafariki,ameacha kitoto kichanga.Alikuwa ni maarufu sana humu Jamii forum Sasa hivi hata simu ya smartphone hana.CCM aliyosababisha laana kwake ilimpa msaada Kwa kuchangishana kwa kumuuguza Mama yake ikachoka.Juzi ananiambia ni afadhali ningekufa tu .Watu wasionahuruma huwa Wana mkumbusha kuhusu LISSU .

akilinene nakukumbusha Kama nilivyomwambia ndugu yako zandrano kuwa usijaribu sana kumuombea ndugu yako mabaya Kwa sababu ya njaa,Usijaribu kuomba kifo Kwa ndugu yako Kwasababu ya 7000/-.
USSR Magufuri alitamani sana LISSU afe lakini akafa yeye kwanza.

Leo hii mnatamani MBOWE afungwe bila hatia yoyote,Lakini mwaka huu Kabla haujaisha,Mungu mwenye kuhukumu ya kweli at waonesha Na kuwafundisha.

Huyu mwenzenu mpaka PolePole alikuwa anamkubali Leo hii anateseka
Duniani kote hakuna gaidi anayependwa. Gaidi anakatisha maisha ya watu wasiokuwa na hatia. Juzi umeona gaidi Hamza alivyokatisha ghafla maisha ya askari wetu. Leo unataka tumchekee gaidi!!

Narudi tena kuwa kama mahakama itathibitisha bila kuwa na shaka kuwa walipanga kufanya ugaidi, watanzania wote tutatamani wafungwe miaka mingi jela. Ni sawa na tunavyoshukuru jambazi akifungwa au kuuwawa. Ndiyo hivyo kwa gaidi. Anapokea matokeo ya matendo yake.

Pili inaonekana unaishi katika spirit ya kufikiri kila baya linalomtokea binadamu ni laana.

Ikiwa kuna laana hiyo, wa kwanza kulaaniwa anapaswa kuwa Mbowe, Lissu na wana Chadema wengi pengine ukiwemo wewe kwa kushangilia kufariki kwa JPM. Juzi pia wengi wenu mlishangilia kuuwawa kwa askari wetu kwenye tukio la gaidi Hamza.

Nyie ndiyo mnapaswa kupatwa na hiyo laana. Anayemshangilia Rais wa nchi kufariki na anayemshangilia gaidi kufungwa jela ni nani anastahili laana? Sijakuona ukiwaombea laana wanaoshangilia kifo cha JPM.

Hata kwa tamaduni zetu za kiafrika ni mbaya kushangilia kifo cha mtu yoyote na kumsingizia uongo baada ya kifo chake kama unayofanya Mbowe.

Pengine yanayomtokea Mbowe sasa hivi ni sehemu ya laana hiyo. Gaidi hafai, gaidi hafai. Ni vyema gaidi afungwe miaka mingi jela. Ni salama hata kwako na familia yako.
 
Una tatizo wewe ku

Inaonekana una roho ya kuamini sana sana katika laana. Nakushauri usome zaburi 109:17 inayosema yeye
Kumbe ni mkristo kabisa,na huenda unaenda kanisani kabisa Lakini Kwa sababu ya umaskini uanamua kumwacha YESU wa kweli moyoni Na kubaki mdomoni.Acha kutafuta Laana usilitaje bure Jina la Mungu wako.

Ndugu siamini Kwa namna yoyote katika laana ,Lakini ninaamini kuna wakati mikosi inampta mtu kutokana na namna anavyoishi,damu za watu zikamlilia Mungu sikuzote matokea yake huwa ni mabaya haikuanza leo.

Ninacho kiamini hata CCM wengine wenye Imani na Elimu Yao ambao wanaamini ipo hukumu ya Mungu mbeleni ambao hawapelekeshwi na umaskini wa vyeo na fedha ambavyo CCM wengi wanafanya akilinene wanaamini MBOWE siyo GAID na LISSU alipigwa risasi na Magufuli.

Narudia tena acha kutumiakia Mabwana wawili wewe Ni wakala wa shetani bila kujijua ,sitaki utoke CCM Lakini natamani utumikia CCM kwa utakatifu Kama wengine.

Magufuli alitamani kumuona LISSU akiwa Marehemu Lakini Mungu hakupenda iwe hivyo .Wewe akilinene unatamani MBOWE afungwe bila kosa Lakini MUNGU atakujibu Kama alivyowajibu Kwa LISSU.

Mwisho jifunze kutafuta hela yako mwenyewe achana UMALAYA WA KISIASA .Umalaya wa kisiasa hautakusaia chochote Kwenye Maisha.Tafuta hela yako mwenyewe
 
Una tatizo wewe kufikiri u

Inaonekana una roho ya kuamini sana sana katika laana. Nakushauri usome zaburi 109:17 inayosema yeye apendaye kulaani na kutamka laana kwa wengine na asitamke mibaraka , basi laana hiyo humpata yeye.
Kubaki kataa kifo cha Magufuli kilikuwa cha kiroho!Kushangilia kilikuwa na connections na kiroho.Binafsi sijawahi Kushangilia kifo chake.Lakini kumwaga damu za watu wasio Na hatia ilikuwa hatari zaidi Kwenye ulimwengu wa kidogo.

akilinene acha umalaya wa kisiasa
akilinene acha kutumiakia Mabwana wawili
akilinene acha kuwa wakala wa shetani
akilinene acha kutafuta Laana ya ukoo Na familia yako kisa vyeo na Mali.
akilinene tumia Elimu na akili kutafuta fedha ,fedha za kupewa hazidumu.
akilinene walikuwepo wenye viburi vya uzima Leo hii wanateseka Kwa sababu hiyo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]anatumia [emoji527] kufikiri
hiyo imoji ni moyo au matako..tuanzie kwanza hapo... 😀
😀 😀
 
Good for you sir!Lakini Mungu ni wetu sote lolote la weza kutokea kwako Kabla ya MBOWE kufungwa.Kama huamini kaulize Chato.
Najua ila sio kwa ugaidi

USSR
 
Watu wengi hawajui kazi ya wakili. Wanadhani mahakamani ni kufika na kupiga porojo. Ona sasa bila maswali hayo tungejuaje kuwa polisi wetu ni zero. Hakuna wanayoyajua.

We subiri siku Sir_ro akipandishwa kizimbani. Watatamani wazime mtandao, lakini tayari tumesha andaa VPN
Kazi ni kupima ukilaza wa polosi au kushinda kesi

USSR
 
Kubaki kataa kifo cha Magufuli kilikuwa cha kiroho!Kushangilia kilikuwa na connections na kiroho.Binafsi sijawahi Kushangilia kifo chake.Lakini kumwaga damu za watu wasio Na hatia ilikuwa hatari zaidi Kwenye ulimwengu wa kidogo...
Naona umekosa hoja umebaki na ushabiki na hisia zako binafsi. Mimi ni zaidi ya hapo. Hivyo nafunga rasmi suala lako.
 
Back
Top Bottom