Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Watu hawajui kuwa kauli zao wenyewe huwa zinawaletea laana.Sikiliza ndugu ,unatafuta laana katika maisha Kwa sababu ya umaskini wako.
Huku ni liko tuna mtu mmoja alikuwa napiga kelele sana kipindi cha Magufuli akifurahia sana LISSU kupigwa risasi akifurahia sana Ben saanane kupotezwa .Leo hii anamuuguza Mama yake Kwa kansa(CA OF LIVER) isiy
Karma is real.
If anything jifunze njia ya mwendazake.
Na nkuhakikishieni kuwa mimi si mwana CDM.