Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

Maswali mepesi mno
 
Mallya: mpelelezi Kama Mahita masuala ya mahabusu Central ni Kazi yake? siku ya tarehe 08.8.2020 ulikuwa wajibu wa Mahita
Shahidi: Ulikuwa ni wajibu wangu mimi
Mallya: Mheshimiwa Jaji hi hayo tu..

Point, kwa nini Mahita aliwachukua wakati siku hiyo yeye haikuwa wajibu wake.
 
Kumbe mallya hakuna mtu ni tutusa tu maswali anarudia yaleyale so tunamawakili wa hovyo sana

USSR
 
Kumbe mallya hakuna mtu ni tutusa tu maswali anarudia yaleyale so tunamawakili wa hovyo sana

USSR
hao mawakili wanakula pesa ya bure hakuna kitu kichwani maboga matupu wanapoteza muda wa mahakama tu
 
Hata Mheshimiwa Jaji kesha ng'amua janja ya hawa Mawakili wa upande Gaidi Mwenyekigoda, ni kutaka kupoteza muda na kupata "huruma" au sympathy kutoka kwa wana CHADEMA kwa kuuliza vijiswali vya uongo uongo na upotoshaji kwa mashahidi wa Serikali as a way of justifying their payments. Waache hizo, wafanye kazi zao kiweledi ili "mbivu na mbichi" zijulikane!
 
Kiwhelo: Mtuhumiwa namba tatu, alipochukuliwa na afande Jumanne alirudishwa saaa ngapi?
Shahidi: Sikumbuki


Tatizo tayari..
Hata Kama ni wewe utawakumbuka mahabusu wote waliingia na kutoka saa ngapi kila siku ,ni upuuzi Sana umuulize mwalimu eti mwanafunzi wako flan aliondoka saa ngapi siku flani ilikuwa saa moja na dakika ngapi upuuzi mtupu

USSR
 
Kesi kuu ugaidi na utakatishaji pesa kesi ndogo kuteswa na madawa ya kulevya

USSR
Kutakatisha pesa nayo kesi? Hata ingekuwa kumtoa roho shetani bado mbowe atapiganiwa na Mungu na atatoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…