Yaliyojiri Kesi ya Mbowe: RPC Kingai aeleza Mbowe alivyopanga kumdhuru Ole Sabaya. Kesi yaahirishwa hadi 27 Oktoba 2021

Ni tamthilia ya kusadikika tu.
 
... na DPP akatoa baraka zake kesi iende mahakamani.
 
Shahidi: Uliza Maswali Sensible Bwana

Mawakili wa Utetezi Wote wananyanyuka

KIBATALA: No No No No Kaeni Mwacheni


Sijaelewa hapa kwanini Hawa mawakili walisimama? Walimaanisha nini?
 
Ile nguvu yote waliyotumia ili haya maelezo yasisomwe ilikuwa ni kuiepuka hii aibu kubwa kwa Mkiti, kesi ngumu sana hii kwa Mwamba
Kwa anaefuatilia hata km Hana ufahamu wowote wa sheria, ni kesi nyepesi Sana.Ni jaji tu atende haki.

Ukimsikiliza Kingai utajua kabisa ni kesi ya kutunga ambayo hana ushahidi wowote bali kupoteza muda na rasimali za taifa bila sababu yyte.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Zaidi ya kununuliwa nguo na nauli. Hakuna chochote kingine ambacho wangekipata kwa kazi hizo za kulipuwa vituo, kukata miti, pamoja na kumdhuru Sabaya.

Mbowe amekamatwa haraka haraka kwasababu ya issue ya madai ya katiba mpya.
 
Yaani Mimi nilivyosikia kuna "Caution Statement" ya mshtakiwa No.2 inabishaniwa nikajua ina jambo kuubwa la maana ndani yake kumbe inadhihirisha tu uovu wa Kingai na kundi lake!!
... Ile trial within a trial kimsingi haikuwa na ulazima sana zaidi ya kuendelea kuwaweka Mbowe na makomandoo mahabusu unnecessarily! Japo imetufumbua macho wengi, kwa ushahidi aliotoa RPC Kingai leo, kesi ndogo haikuwa na umuhimu.
 
Nimeona hayo maelezo yao ila sina imani tena na hao majaji wanaobadilishwa kila siku na wanaosaka teuzi.

Ingredients za ugaidi kulingana na Kingai ni; kukata magogo kuyaweka barabarani na kutaka kuchoma vituo vya mafuta moto, haya kwao sio kutaka kufanya vurugu.

Lakini wakiulizwa kama watuhumiwa walikutwa na silaha yoyote wanasema hapana, walikutwa na maelezo yoyote kuonesha watuhumiwa walikuwa na hiyo mipango ya ugaidi wanasema hapana, jamaa hawakujiandaa na huu uongo wao kabisa.

Maelezo waliyochukua kwa kuwalazimisha watuhumiwa kwa kiasi kikubwa yanapingana na majibu ya maswali wanayoulizwa kwenye cross examination na mawakili wa utetezi, hii inathibitisha kauli ya waziri wa mambo ya ndani hawa polisi wetu kweli ni failures.
 
Shahidi: Uliza Maswali Sensible Bwana

Mawakili wa Utetezi Wote wananyanyuka

KIBATALA: No No No No Kaeni Mwacheni


Sijaelewa hapa kwanini Hawa mawakili walisimama? Walimaanisha nini?
Hawa mawakili walitaka kusepa mambo yameanza kuwa magumu
 
Tuweke akiba ya maneno. Hata Ile kesi ndogo Kwa macho ya wengi ilikuwa jaji asipokee kile kilelezo lakini Jaji siyani alikipokea kile kielelezo na akajiyoa kusikiliza kesi. Mbaya zaidi hakukuwa na cha kumfanya.

Kwa hiyo huo ushahidi wa Kingai tuuangalie Kwa jicho la tahadhali sana. Ikumbukwe hawa majaji hawaaminiki tena.
 
Ni kweli majaji hawahaminiki lakini hata wakiibeba jamhuri kiasi gani wakati mwingine mbeleko lazima ichanike tu.
 
Shahidi: Uliza Maswali Sensible Bwana

Mawakili wa Utetezi Wote wananyanyuka

KIBATALA: No No No No Kaeni Mwacheni


Sijaelewa hapa kwanini Hawa mawakili walisimama? Walimaanisha nini?
Kingai aliwapiga na kitu kizito kichwani
 
Ya msingi Kama yapi yaliyoachwa pls dadavua.
 
Mbona mnahaha sana? Huyu ndiyo kwanza shahidi wa 1 upande wa serikali, kuna wengine 19 wanakuja, subirini!!
Unaelewa maana ya key witness?? Hivi unajua cheo cha huyu shahidi Vs anachoongea mahakamani?? Mfano : Kaulizwa hivi umesema walitaka kukata miti ili kufunga barabara huko Morogoro na Iringa sasa hebu tueleze ulienda huko kuona miti waliyotaka kuikata? Anajibu sikwenda!! [emoji12][emoji12]
 
Sio maswali umiza?
Mtu anapigwa swali mpaka mawakili wote wananyanyuka bila ruhusa ya jaji sio mchezo kasimame pale kizimbani uulizwe tukusikie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…