This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Kingai atapandishwa cheo muda si mrefu. Zawadi ya kutekeleza ushetani wake.
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wafuasi wa Lusiferi mnamjua na kulitaja jina la Mwenyezi Mungu. Hii ni dhihaka kubwa Sana.Mungu awape wepesi mtuletee taarifa zenye ukamilifu.
Barikiwa!
Ni tamthilia ya kusadikika tu.Heshima kwa wote.
Nafuatilia hii kesi ya Mbowe na wenzake watatu najikuta nacheka na kusikitika kwa wakati mmoja.
Mosi Magaidi wanampango wa kwenda kulipua vituo vya mafuta na kukata Miti hawana Mabomu wala mapanga au Cheingso.
Pili katika hati ya mashtaka hakuna ushahidi kwamba walikuwa na mkutano au kulikuwa na ushahidi wa kilichopangwa na kupangika.
Tatu kulikuwa na mpango wa kumdhuru Sabaya lakini hakuna aina yoyote ya silaha iliyokamatwa kama kielelezo
Aina hii ya kesi ipo Tanganyika pekee yake yaani Polisi anaweza kukamata na kuandaa mashtaka bila ushahidi wenye mashiko na ukakaa mahabusu muda wa kutosha.
Ipo haja Police wetu kurejea upya darasani na kujifunza namna bora ya kuandaa mashtaka,kupeleleza na hatimaye kupelekea kesi Mahakamani,kinyume chake ni kupoteza fedha za walipa kodi buuure.
... na DPP akatoa baraka zake kesi iende mahakamani.Heshima kwa wote.

Kwa anaefuatilia hata km Hana ufahamu wowote wa sheria, ni kesi nyepesi Sana.Ni jaji tu atende haki.Ile nguvu yote waliyotumia ili haya maelezo yasisomwe ilikuwa ni kuiepuka hii aibu kubwa kwa Mkiti, kesi ngumu sana hii kwa Mwamba
... Ile trial within a trial kimsingi haikuwa na ulazima sana zaidi ya kuendelea kuwaweka Mbowe na makomandoo mahabusu unnecessarily! Japo imetufumbua macho wengi, kwa ushahidi aliotoa RPC Kingai leo, kesi ndogo haikuwa na umuhimu.Yaani Mimi nilivyosikia kuna "Caution Statement" ya mshtakiwa No.2 inabishaniwa nikajua ina jambo kuubwa la maana ndani yake kumbe inadhihirisha tu uovu wa Kingai na kundi lake!!
Mbona mnahaha sana? Huyu ndiyo kwanza shahidi wa 1 upande wa serikali, kuna wengine 19 wanakuja, subirini!!
Devises=devices. Devise na device ni maneno yenye maana tofauti.Enzi za mobile devises..
Hawa mawakili walitaka kusepa mambo yameanza kuwa magumuShahidi: Uliza Maswali Sensible Bwana
Mawakili wa Utetezi Wote wananyanyuka
KIBATALA: No No No No Kaeni Mwacheni
Sijaelewa hapa kwanini Hawa mawakili walisimama? Walimaanisha nini?
... na DPP akatoa baraka zake kesi iende mahakamani.
Ni kweli majaji hawahaminiki lakini hata wakiibeba jamhuri kiasi gani wakati mwingine mbeleko lazima ichanike tu.Tuweke akiba ya maneno. Hata Ile kesi ndogo Kwa macho ya wengi ilikuwa jaji asipokee kile kilelezo lakini Jaji siyani alikipokea kile kielelezo na akajiyoa kusikiliza kesi. Mbaya zaidi hakukuwa na cha kumfanya.
Kwa hiyo huo ushahidi wa Kingai tuuangalie Kwa jicho la tahadhali sana. Ikumbukwe hawa majaji hawaaminiki ten
Kingai aliwapiga na kitu kizito kichwaniShahidi: Uliza Maswali Sensible Bwana
Mawakili wa Utetezi Wote wananyanyuka
KIBATALA: No No No No Kaeni Mwacheni
Sijaelewa hapa kwanini Hawa mawakili walisimama? Walimaanisha nini?
Ya msingi Kama yapi yaliyoachwa pls dadavua.Mawakili wa utetezi kesi ya mbowe wanatafuta credit kwa MAJORITY'S badala ya kutafuta credit kwa JAJI ambae ndio mwamuzi wa kesi yenyewe.
Hivyo hvyo wafuasi wa upande wa utetezi wanashupalia ushabiki ambao hauna mantiki kwenye kesi wanaacha maswala ya msingi kwenye kesi.
Nimeona mengi mno kwenye kesi ya sabaya na hii ya mbowe watu wanajikitika kwenye maswali na maelezo ambayo sio msingi wa kesi hvyo hayana maana.
Nipo hapa nafatilia taratibu.
... na DPP akatoa baraka zake kesi iende mahakamani.
Unaelewa maana ya key witness?? Hivi unajua cheo cha huyu shahidi Vs anachoongea mahakamani?? Mfano : Kaulizwa hivi umesema walitaka kukata miti ili kufunga barabara huko Morogoro na Iringa sasa hebu tueleze ulienda huko kuona miti waliyotaka kuikata? Anajibu sikwenda!! [emoji12][emoji12]Mbona mnahaha sana? Huyu ndiyo kwanza shahidi wa 1 upande wa serikali, kuna wengine 19 wanakuja, subirini!!
Sio maswali umiza?Mawakili wa utetezi kesi ya mbowe wanatafuta credit kwa MAJORITY'S badala ya kutafuta credit kwa JAJI ambae ndio mwamuzi wa kesi yenyewe.