Yaliyojiri Kesi ya Mbowe: RPC Kingai aeleza Mbowe alivyopanga kumdhuru Ole Sabaya. Kesi yaahirishwa hadi 27 Oktoba 2021

Nyie ndugu ... Hamuoni kwamba maneno yenu yanajenga chuki?

Kufurahia tena "hadharani" mateso ya binadamu mwenzio ni tabia za Kinyani. Muwe "watu".
Furahabya wananchi ni kuona gaidi akidhibitiwa
 
Subirini, haraka ya nini? Au mmesahau ishu ya PGO? Mlishangilia mapemaa kabla mechi haijaisha matokeo yake mkagaragazwa, sheria siyo sawa na porojo za JF
Wewe huipendi tanzania kama jina lako, zero kama nyinyi ndio matatizo yote ya ile nchi kuwa maskini na ufala mwingi
 
Yani Posho ya ex-Commando ni ndogo kuliko Posho ya Body guard wa Harmonize?!!! Kuweni serious. Kuendelea na hii kesi ni upuuzi na ni matumizi mabaya ya rasilimali watu.
 
Kingai, kama kweli Mungu yupo na wote tunaamini hivyo aisee hutoboi ndugu yangu, kikombe hiki kinakudondokea , watu hawa unawatesa bure, familia zinalia hazina chakula kisa tu kumkomoa Mbowe aachane na siasa.

Yetu macho ndugu.

Point! Cha kujiuliza ktk hii kesi Nani mtuhumiwa mkuu/supermind wa hiyo plan. Hivi unawezaje kukamilisha upelelezi wa waliopewa kazi bila ya kumtia mkononi kwanza aliye plan huo mchongo.
 
Tuliaminishwa upelelezi umekamilika na wapo tayari kwa kesi, Jana Kibatala kamuuliza Kingai kuwa hiyo spray ya sumu Lingwenya alipanga kwenda kununua kwa Nani? Akajibu upelelezi bado unaendeleaje. Kwakweri nilijisikia haibu sana
 
RPC Kingai ameeleza hatua kwa hatua bila kuacha shaka jinsi Freeman Mbowe alivyopanga kumuuwa aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Ole Lengai Sabaya...
Kwamba?

“Mbowe alituelekeza tufuatilie nyendo zake na tumdhuru kwa spray ya sumu. Ling'wenya alifuatilia mtu wa kupata sumu."

Mbowe ndiye anachagua cha kudhuria, basi commando ni Mbowe siyo Adamoo.
 
Rpc kingai alikuwa akiagizwa na mbowe au mim sieewi hii scene?
 
Hayo maelezo ukiyadoma mara mbili unapata kitu, huyo afande akikutana na mawakili wa utetezi kazi anayo, anaweza kuonekana sio muadilifu na kazi yake, yamepangiliwa kitoto mno, siwatetei hao washitakiwa lakini maelezo ya huyo afande yana shaka nyingi,

Nakumbuka kuna diku niliambiwa niandike maelezo dah yalibafilishwa mnoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…