Credit
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 1,490
- 1,881
Furahabya wananchi ni kuona gaidi akidhibitiwaNyie ndugu ... Hamuoni kwamba maneno yenu yanajenga chuki?
Kufurahia tena "hadharani" mateso ya binadamu mwenzio ni tabia za Kinyani. Muwe "watu".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Furahabya wananchi ni kuona gaidi akidhibitiwaNyie ndugu ... Hamuoni kwamba maneno yenu yanajenga chuki?
Kufurahia tena "hadharani" mateso ya binadamu mwenzio ni tabia za Kinyani. Muwe "watu".
Wewe huipendi tanzania kama jina lako, zero kama nyinyi ndio matatizo yote ya ile nchi kuwa maskini na ufala mwingiSubirini, haraka ya nini? Au mmesahau ishu ya PGO? Mlishangilia mapemaa kabla mechi haijaisha matokeo yake mkagaragazwa, sheria siyo sawa na porojo za JF
Kingai, kama kweli Mungu yupo na wote tunaamini hivyo aisee hutoboi ndugu yangu, kikombe hiki kinakudondokea , watu hawa unawatesa bure, familia zinalia hazina chakula kisa tu kumkomoa Mbowe aachane na siasa.
Yetu macho ndugu.
Point! Cha kujiuliza ktk hii kesi Nani mtuhumiwa mkuu/supermind wa hiyo plan. Hivi unawezaje kukamilisha upelelezi wa waliopewa kazi bila ya kumtia mkononi kwanza aliye plan huo mchongo.Acha mihemko, mmeshikilia mtuhumiwa muda wote huo, mmekamata moshi mkampeleka mpaka Dar, halafu baadae mnakuja na ushahidi wa maneno yaliyoandikwa eti ndio maelezo aliyotoa mtuhumiwa.
Ninini hasa kitatufanya tuamini huo ushahidi ni kweli umetolewa na mtuhumiwa? na Je hajateswa na kulazimishwa kusaini hayo maelezo?
Mawakili wanawauliza maswali ya msingi, lakini kwa uzuzu wenu mmeshindwa kuelewa lengo la maswali hayo, kwa mwenendo wa kesi nzima, mbowe alitakiwa kuwa mshtakiwa namba moja, je ni kwanini si mshtakiwa namba moja?
Mnadai hamkumkakata sababu upelelezi juu yake ulikuwa haujakamilika, je upelelezi juu ya hawa wengine ulikamilika lini hadi wakakamatwa? Na kama upelelezi juu ya watuhumiwa watatu ilikuwa umekamilika, huyu mliyemuacha nje anazurura hadi anaenda nje ya nchi ni upelelezi wa aina gani mlikuwa mnaufanya juu yake, ambapo matokeo ya upelelezi huo ni yapi (ushahidi) yakawafanya mumkamate? Eleweni maswali ya mawakili yanalenga kutoa picha gani.
Kama maswali hayo ni magumu achana nayo usinijibu kimihemko na hoja za kiuvccm.
Tuliaminishwa upelelezi umekamilika na wapo tayari kwa kesi, Jana Kibatala kamuuliza Kingai kuwa hiyo spray ya sumu Lingwenya alipanga kwenda kununua kwa Nani? Akajibu upelelezi bado unaendeleaje. Kwakweri nilijisikia haibu sanaAcha mihemko, mmeshikilia mtuhumiwa muda wote huo, mmekamata moshi mkampeleka mpaka Dar, halafu baadae mnakuja na ushahidi wa maneno yaliyoandikwa eti ndio maelezo aliyotoa mtuhumiwa.
Ninini hasa kitatufanya tuamini huo ushahidi ni kweli umetolewa na mtuhumiwa? na Je hajateswa na kulazimishwa kusaini hayo maelezo?
Mawakili wanawauliza maswali ya msingi, lakini kwa uzuzu wenu mmeshindwa kuelewa lengo la maswali hayo, kwa mwenendo wa kesi nzima, mbowe alitakiwa kuwa mshtakiwa namba moja, je ni kwanini si mshtakiwa namba moja?
Mnadai hamkumkakata sababu upelelezi juu yake ulikuwa haujakamilika, je upelelezi juu ya hawa wengine ulikamilika lini hadi wakakamatwa? Na kama upelelezi juu ya watuhumiwa watatu ilikuwa umekamilika, huyu mliyemuacha nje anazurura hadi anaenda nje ya nchi ni upelelezi wa aina gani mlikuwa mnaufanya juu yake, ambapo matokeo ya upelelezi huo ni yapi (ushahidi) yakawafanya mumkamate? Eleweni maswali ya mawakili yanalenga kutoa picha gani.
Kama maswali hayo ni magumu achana nayo usinijibu kimihemko na hoja za kiuvccm.
... hiyo ndio "cream" kule TPF mzee! Very intelligent ona alivyopanda vyeo fasta!Kama jeshi la polisi linamtegea Kingai ktk kutunga kesi za kubumba. Lijitafakari. Jamaa ni mjinga mno,
Mvua lazima tu kwa Mbowe!Nashangaa mnahamu ya kujuwa Mbowe na wenzake wanakula mvua ngapi yaani gaidi hana njia ya kuchomka
Mauchawi tuu.... hiyo ndio "cream" kule TPF mzee! Very intelligent ona alivyopanda vyeo fasta!
Huyu makengeza wamfunge miaka ta shetani...mjinga kabisa
Sawa mjusiTulieni dawa iwaingie kenge nyinyi
Haha sawa mkuuWaliona shahidi Hana uwezo Tena wa kuendelea na pambano alikuwa Kisha changanya oil na maji KO ya nguvu ikabidi utu uwasukume kumuokoa.
HahaKingai aliwapiga na kitu kizito kichwani
Haha dah noma kweliHawa mawakili walitaka kusepa mambo yameanza kuwa magumu
Kwamba?RPC Kingai ameeleza hatua kwa hatua bila kuacha shaka jinsi Freeman Mbowe alivyopanga kumuuwa aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Ole Lengai Sabaya...
Kuona nini?Kwa hiyo nyie makamanda uchwara huwa hamjioni sio?
Gaidi gani na orodhesha huo ugaidi.Furahabya wananchi ni kuona gaidi akidhibitiwa
Umeskip paragraph, soma ya nne!Rpc kingai alikuwa akiagizwa na mbowe au mim sieewi hii scene?