Mimi siyo Mwanasheria! Ila ukifuatilia maelezo ya huyo RPC Kingai, utagundua Nchi hii ina watu wengi wenye vyeo vya juu halafu kichwani kumejaa matope tupu.RPC Kingai ameeleza hatua kwa hatua bila kuacha shaka jinsi Freeman Mbowe alivyopanga kumuuwa aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Ole Lengai Sabaya kwa kutumia perfume ya sumu kwa madai kuwa Sabaya alikuwa anatishia nafasi ya Mbowe kuendelea kuwa mbunge wa jimbo la Hai...
Matokeo hayakuzingatia haki. Kesi ilishaamuliwa ikulu. Hukushangaa kuona Siami anapanda cheo siku tatu kabla ya hukumu??Waliopaniki ni wale waliosimama wote kwa pamoja, usisahau kwenye kesi ndogo mlisema Kingai kabanwa na Kibatala mpaka akaenda haja, matokeo unayajua!
Mbombo ngafuPamoja sana, tunafatilia
OsamaKuona nini?
Gaidi gani na orodhesha huo ugaidi.
1
2.
3.
4.
Kingai sio shaidi tuu. Kingai ndio alkyeunda hii kesi. Sasa jiulize aliyeunda kesi anababaika hivyo Sasa hao mashaidi wengine unafikiri itakuwaje??Umesahau mambo ya PGO mara hii? Mlishangilia humu mkaja lazwa na viatu! Kifupin Kingai ni shahidi tu, ila leo kascore kuliko wanasheria wenu wote! How come unamuuliza Kingai kuhusu kauli ya Rais?? Kibatala anauliza maswali kwa mihemko ya stories za wanasiasa
Kila kitu.Kuona nini?..
Yaani kina Kasekwa walikubali kufanya Ugaidi (UGAIDI) bila kujua watalipwa kiasi gani? Sijawahi kuona magaidi wapumbavu kama hawa ambao wako tayari kushindia mihogo kwa Dada yao ili wamfurahishe mwajiri waliyefamiana muda mfupi.Zaidi ya kununuliwa nguo na nauli. Hakuna chochote kingine ambacho wangekipata kwa kazi hizo za kulipuwa vituo, kukata miti, pamoja na kumdhuru Sabaya.
Mbowe amekamatwa haraka haraka kwasababu ya issue ya madai ya katiba mpya.
Wazungu ndiyo waume zakoUzuri ni kwamba wazungu wanatafsiri halisi ya kila kitu anachofanyiwa mbowe
Tulieni dawa iwaingieMimi siyo Mwanasheria! Ila ukifuatilia maelezo ya huyo RPC Kingai, utagundua Nchi hii ina watu wengi wenye vyeo vya juu halafu kichwani kumejaa matope tupu.
Yaani hakuna ushahidi wowote ule wa maana! zaidi tu ya porojo na maelezo ya kufikirika na kusadikika!! Kwa aina hiibya ushahidi, hakika dunia inatushangaa na kutucheka.
Mwisho wa siku watasema hata hayati sheh HAMZA alitumwa na MBOWE"Miaka ta" ni lugha isiyojulikana ya wasiojulikana?
RIP Kingay! RIPKingai, kama kweli Mungu yupo na wote tunaamini hivyo aisee hutoboi ndugu yangu, kikombe hiki kinakudondokea , watu hawa unawatesa bure, familia zinalia hazina chakula kisa tu kumkomoa Mbowe aachane na siasa.
Yetu macho ndugu.
Mwisho wa siku watasema hata hayati sheh HAMZA alitumwa na MBOWE
Unalipwa baada ya kazi wauaji wakubwa nyinyiYaani kina Kasekwa walikubali kufanya Ugaidi (UGAIDI) bila kujua watalipwa kiasi gani? Sijawahi kuona magaidi wapumbavu kama hawa ambao wako tayari kushindia mihogo kwa Dada yao ili wamfurahishe mwajiri waliyefamiana muda mfupi.
Hata kesi ya Sabaya iliamriwa UfipaMatokeo hayakuzingatia haki. Kesi ilishaamuliwa ikulu. Hukushangaa kuona Siami anapanda cheo siku tatu kabla ya hukumu??
Hii kama ni kweli,basi itampa tabu sana...Ameuwa watu wengi sana
Wewe ni mnafiki sana, comment yako ya mwanzo umeisahau mara hii? Ngoja nikukumbushe mwanzo umeandika hivi ... "hii kesi imemkalia vibaya mwamba...."
Hapo juu unauliza huna uhakika kama huu ushahidi ni wa ukweli au wa uongo, Sasa kilichokufanya uandike kesi imemkalia vibaya mbowe ninini? Acha unafiki!
Ficha upumbavu wako, unaandika kimhemko wa chama chakoHuyu makengeza wamfunge miaka ta shetani...mjinga kabisa
Hujui hata unachosimamia fala wewe. Umejaa ujinga kwa vile mumeo anakula CCM?Unalipwa baada ya kazi wauaji wakubwa nyinyi