Yaliyojiri Kesi ya Mbowe: RPC Kingai aeleza Mbowe alivyopanga kumdhuru Ole Sabaya. Kesi yaahirishwa hadi 27 Oktoba 2021

Yaliyojiri Kesi ya Mbowe: RPC Kingai aeleza Mbowe alivyopanga kumdhuru Ole Sabaya. Kesi yaahirishwa hadi 27 Oktoba 2021

RPC Kingai ameeleza hatua kwa hatua bila kuacha shaka jinsi Freeman Mbowe alivyopanga kumuuwa aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Ole Lengai Sabaya kwa kutumia perfume ya sumu kwa madai kuwa Sabaya alikuwa anatishia nafasi ya Mbowe kuendelea kuwa mbunge wa jimbo la Hai...
Mimi siyo Mwanasheria! Ila ukifuatilia maelezo ya huyo RPC Kingai, utagundua Nchi hii ina watu wengi wenye vyeo vya juu halafu kichwani kumejaa matope tupu.

Yaani hakuna ushahidi wowote ule wa maana! zaidi tu ya porojo na maelezo ya kufikirika na kusadikika!! Kwa aina hiibya ushahidi, hakika dunia inatushangaa na kutucheka.
 
Umesahau mambo ya PGO mara hii? Mlishangilia humu mkaja lazwa na viatu! Kifupin Kingai ni shahidi tu, ila leo kascore kuliko wanasheria wenu wote! How come unamuuliza Kingai kuhusu kauli ya Rais?? Kibatala anauliza maswali kwa mihemko ya stories za wanasiasa
Kingai sio shaidi tuu. Kingai ndio alkyeunda hii kesi. Sasa jiulize aliyeunda kesi anababaika hivyo Sasa hao mashaidi wengine unafikiri itakuwaje??
 
Uzuri ni kwamba wazungu wanatafsiri halisi ya kila kitu anachofanyiwa mbowe
 
Zaidi ya kununuliwa nguo na nauli. Hakuna chochote kingine ambacho wangekipata kwa kazi hizo za kulipuwa vituo, kukata miti, pamoja na kumdhuru Sabaya.

Mbowe amekamatwa haraka haraka kwasababu ya issue ya madai ya katiba mpya.
Yaani kina Kasekwa walikubali kufanya Ugaidi (UGAIDI) bila kujua watalipwa kiasi gani? Sijawahi kuona magaidi wapumbavu kama hawa ambao wako tayari kushindia mihogo kwa Dada yao ili wamfurahishe mwajiri waliyefamiana muda mfupi.
 
Mimi siyo Mwanasheria! Ila ukifuatilia maelezo ya huyo RPC Kingai, utagundua Nchi hii ina watu wengi wenye vyeo vya juu halafu kichwani kumejaa matope tupu.

Yaani hakuna ushahidi wowote ule wa maana! zaidi tu ya porojo na maelezo ya kufikirika na kusadikika!! Kwa aina hiibya ushahidi, hakika dunia inatushangaa na kutucheka.
Tulieni dawa iwaingie
 
Kingai, kama kweli Mungu yupo na wote tunaamini hivyo aisee hutoboi ndugu yangu, kikombe hiki kinakudondokea , watu hawa unawatesa bure, familia zinalia hazina chakula kisa tu kumkomoa Mbowe aachane na siasa.

Yetu macho ndugu.
RIP Kingay! RIP
 
Mwisho wa siku watasema hata hayati sheh HAMZA alitumwa na MBOWE

Hawana kumbukumbu wala hawajifunzi. Kutenda haki mbona ni rahisi tu na thwawabu kubwa mbinguni?

Walikuwa wakizuia watu kuingia mahakamani nayo siku wakaishia wapi?

Sikiliza TBC utadhani maelezo ya kinga ndiyo Mbowe anakiri mahakamani sasa 😁😁.

Wengine hawa hapa:

IMG_20211027_095021_807.jpg
 
Yaani kina Kasekwa walikubali kufanya Ugaidi (UGAIDI) bila kujua watalipwa kiasi gani? Sijawahi kuona magaidi wapumbavu kama hawa ambao wako tayari kushindia mihogo kwa Dada yao ili wamfurahishe mwajiri waliyefamiana muda mfupi.
Unalipwa baada ya kazi wauaji wakubwa nyinyi
 
Wewe ni mnafiki sana, comment yako ya mwanzo umeisahau mara hii? Ngoja nikukumbushe mwanzo umeandika hivi ... "hii kesi imemkalia vibaya mwamba...."

Hapo juu unauliza huna uhakika kama huu ushahidi ni wa ukweli au wa uongo, Sasa kilichokufanya uandike kesi imemkalia vibaya mbowe ninini? Acha unafiki!

yah ni kweli niliandika hivyo baada ya kusikiliza maelezo ya Kingai, lakini nilivyosoma btn the lines na mahojiano ya mawikili na kuzama deep nikaja na mtazamo tofauti...ukinisoma zaidi pia utagundua kuna vitu nimehighlighs kama mashaka yangu na nivyamsingi sana kwenye hiyo kesi..

Sipo kumtetea yeyote au kumshabikia yeyote, naangalia uhalisi wa jambo lenyewe na mnyukano mahakamani then natoa comment zangu....ndio maana mara nyingi naonya juu ya wanasheria wa Mbowe kujikita zaidi kupambana kisheria kwa utalaam wao wote...mengine tutapima wenyewe kwa akili zetu...
 
Back
Top Bottom