Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Mimi siyo Mwanasheria! Ila ukifuatilia maelezo ya huyo RPC Kingai, utagundua Nchi hii ina watu wengi wenye vyeo vya juu halafu kichwani kumejaa matope tupu.RPC Kingai ameeleza hatua kwa hatua bila kuacha shaka jinsi Freeman Mbowe alivyopanga kumuuwa aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Ole Lengai Sabaya kwa kutumia perfume ya sumu kwa madai kuwa Sabaya alikuwa anatishia nafasi ya Mbowe kuendelea kuwa mbunge wa jimbo la Hai...
Yaani hakuna ushahidi wowote ule wa maana! zaidi tu ya porojo na maelezo ya kufikirika na kusadikika!! Kwa aina hiibya ushahidi, hakika dunia inatushangaa na kutucheka.