Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Huyu kingai atalaaniwa yeye na kizazi chake anashuhudia ushahidi wa uongo tena kwa kiapo wazi waziKingai, kama kweli Mungu yupo na wote tunaamini hivyo aisee hutoboi ndugu yangu, kikombe hiki kinakudondokea , watu hawa unawatesa bure, familia zinalia hazina chakula kisa tu kumkomoa Mbowe aachane na siasa.
Yetu macho ndugu.
Yawezekana mbowe hakujua afya yao ya akiliNa inaonesha jinsi gani Mbowe siyo makini pia, utaajiri vipi insane person awe mlinzi wako wa karibu?? So mkiti wa chama kikuu cha upinzani alikuwa anaokota okota tu vibaka mtaani ili wamlinde bila kuwafanyia vetting yeyote? Mtu mzembe kama huyu ndiyo anataka apewe hii nchi aongoze? Stupid kabisa...
Kapigwa laanaMkuu nini kilimpata jingalao
We ndio umepaniki hadi unaandika kwa herufi kubwa [emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787]YAANI NDUGU HNAHAJA YA KUPANIC MAELEZO MBONA YANAJIELEZA MBOWE NI MTU HATARI SANA HIVI WEWE HUJIULIZI KWANINI KABLA MBOWE HAJAKAMATWA ALIKUWA HAFUATILII KESI YA HAO JAMAA YAANI ALIKUWA KAWATELEKEZA SASA WAMESEMA UKWELI HATA KAMA NI SHABIKI WA MBOWE KUBALI MATOKEO MBOWE GAIDI UKIBISHA UNAONEKANA HUNA AKILI HATA YA KUVUKIA BARABARA
HAPO UNAVYOONA ILIUONE HAKI IMETENDEKA MBOWE AFUNGWE AU AACHIWE HURU?Laiti hii kesi angepangiwa jaji wa zamani ambae hajapata promotion ya kwenda court of appeal na hana cha kupoteza angetenda haki...
Ila Bro hii kazi unayoifanya tungekuwa idara moja ningewasumbua wakuu wakulipe hela ya Maana na hata kukupandisha cheo. Huwa nakufuatilia.Unaumia na nini kwani mpaka unasema yooote hayo? njaa mbaya sana wewe utakuwa ni wale wabunge wa chadema waliokosa ubunge 2020
Hahahahaahha! Ngoja niongeze siku za kuishi!Ila Bro hii kazi unayoifanya tungekuwa idara moja ningewasumbua wakuu wakulipe hela ya Maana na hata kukupandisha cheo. Huwa nakufuatilia. Yaani umejitolea sana kutetea, muda mwingine unajibu hata bila kusoma comment ya MTU. Muda mwingine unajikuta unakosoa comment inayosifu itikadi yako. Yaani ni sawa mke akuambie ' I LOVE YOU" halafu unajibu " MWENYEWE KUM..NYKO".
Mkuu umeandika kwa hisia snUnakuwa mpumbavu ukitetea uovu wa dola kana kwamba dola haiwezi fanya uovu .
Utalaaniwa ikiwa waona haki ikikandamizwa na usifungue mdomo kisa ya ushabiki wa kisiasa wa kijinga...
Sabaya huyu mfungwa?!Kuna sehemu kajichanganya kizembe sana kuhusu Sabaya. Hii kesi ilitengenezwa zama za mawe. Hakuna namna SABAYA atakuja kuwaumbua hawa mpaka wajute. Ushahidi wa Sabaya ni muhimu sana.
NdioSabaya huyu mfungwa?!
Kingai anaburuzwa kama nguruwe mwituMungu awape wepesi mtuletee taarifa zenye ukamilifu.
Barikiwa!
Nasikia ameshampokea Yesu akiwa gerezani!Ndio
YAANI MTANYOOKA TU UNAONA USHAHDI WA UONGO SEHEMU GANI WAKATI WANASEMA UKWELI MLIWALISHA MANENO ILI MJE MTENGENEZE KESI NDOGO IMESHINDIKANA
Ni ushindi kwetu...maana atakuja kuyasema yoote ya gizaniNasikia ameshampokea Yesu akiwa gerezani!
Kwa sasa ameshaachana na mambo yenu ya kidunia!Ni ushindi kwetu...maana atakuja kuyasema yoote ya gizani