Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Huyu kingai atalaaniwa yeye na kizazi chake anashuhudia ushahidi wa uongo tena kwa kiapo wazi waziKingai, kama kweli Mungu yupo na wote tunaamini hivyo aisee hutoboi ndugu yangu, kikombe hiki kinakudondokea , watu hawa unawatesa bure, familia zinalia hazina chakula kisa tu kumkomoa Mbowe aachane na siasa.
Yetu macho ndugu.
Ghadhabu ya MUNGU ni juu yake.