Yaliyojiri Kesi ya Mbowe: RPC Kingai aeleza Mbowe alivyopanga kumdhuru Ole Sabaya. Kesi yaahirishwa hadi 27 Oktoba 2021

Yaliyojiri Kesi ya Mbowe: RPC Kingai aeleza Mbowe alivyopanga kumdhuru Ole Sabaya. Kesi yaahirishwa hadi 27 Oktoba 2021

Kingai, kama kweli Mungu yupo na wote tunaamini hivyo aisee hutoboi ndugu yangu, kikombe hiki kinakudondokea , watu hawa unawatesa bure, familia zinalia hazina chakula kisa tu kumkomoa Mbowe aachane na siasa.

Yetu macho ndugu.
Huyu kingai atalaaniwa yeye na kizazi chake anashuhudia ushahidi wa uongo tena kwa kiapo wazi wazi

Ghadhabu ya MUNGU ni juu yake.
 
Ni waovu kuliko shetani
Yaani wanaua kilimo, wameua ufugaji, wameua uchumi na bado wanakamua TOZO kwa masikini

Ccm wanataka kula fedha Bila bugudha, hawaki mtu wa kuamsha Wananchi wajue Haki zao

Serikali kubwa, matumizi ya anasa..posho nyingi sana..

Uchumi umeshuka, hawataki kubana matumizi
 
Na inaonesha jinsi gani Mbowe siyo makini pia, utaajiri vipi insane person awe mlinzi wako wa karibu?? So mkiti wa chama kikuu cha upinzani alikuwa anaokota okota tu vibaka mtaani ili wamlinde bila kuwafanyia vetting yeyote? Mtu mzembe kama huyu ndiyo anataka apewe hii nchi aongoze? Stupid kabisa...
Yawezekana mbowe hakujua afya yao ya akili

Vipi kuhusu hapo waliokusanya maelezo wanaamini vipi kuwa huyo walimuhoji ana akili sawa sawa na maelezo yake ndio uhalisi

Vipi kama dishi lilikuwa limeyumba wakati anahojiwa ukichagiza na torture
 
YAANI NDUGU HNAHAJA YA KUPANIC MAELEZO MBONA YANAJIELEZA MBOWE NI MTU HATARI SANA HIVI WEWE HUJIULIZI KWANINI KABLA MBOWE HAJAKAMATWA ALIKUWA HAFUATILII KESI YA HAO JAMAA YAANI ALIKUWA KAWATELEKEZA SASA WAMESEMA UKWELI HATA KAMA NI SHABIKI WA MBOWE KUBALI MATOKEO MBOWE GAIDI UKIBISHA UNAONEKANA HUNA AKILI HATA YA KUVUKIA BARABARA
We ndio umepaniki hadi unaandika kwa herufi kubwa [emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unaumia na nini kwani mpaka unasema yooote hayo? njaa mbaya sana wewe utakuwa ni wale wabunge wa chadema waliokosa ubunge 2020
Ila Bro hii kazi unayoifanya tungekuwa idara moja ningewasumbua wakuu wakulipe hela ya Maana na hata kukupandisha cheo. Huwa nakufuatilia.

Yaani umejitolea sana kutetea, muda mwingine unajibu hata bila kusoma comment ya MTU. Muda mwingine unajikuta unakosoa comment inayosifu itikadi yako. Yaani ni sawa mke akuambie ' I LOVE YOU" halafu unajibu " MWENYEWE KUM..NYKO".
 
Ila Bro hii kazi unayoifanya tungekuwa idara moja ningewasumbua wakuu wakulipe hela ya Maana na hata kukupandisha cheo. Huwa nakufuatilia. Yaani umejitolea sana kutetea, muda mwingine unajibu hata bila kusoma comment ya MTU. Muda mwingine unajikuta unakosoa comment inayosifu itikadi yako. Yaani ni sawa mke akuambie ' I LOVE YOU" halafu unajibu " MWENYEWE KUM..NYKO".
Hahahahaahha! Ngoja niongeze siku za kuishi!
 
Unakuwa mpumbavu ukitetea uovu wa dola kana kwamba dola haiwezi fanya uovu .

Utalaaniwa ikiwa waona haki ikikandamizwa na usifungue mdomo kisa ya ushabiki wa kisiasa wa kijinga

Utalaanika endapo utashindwa tumia akili yako uliyojaliwa sawa sawa maana ni matusi kwa MUUMBA

Hii kesi kama kweli halali basi mbowe apewe adhabu yake anayostahili

Na kama kweli ni ya kupika wote walishirik kuanzia juu hadi chini i watalaanika wao vizazi vyao kwa mapigo makuu toka kwa mwenye umiliki wa ardhi na mbingu.

Kushuhudia uongo chini ya kiapo ni kufuru nyengine

Amina[emoji120]
 
Back
Top Bottom