Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Aliyekuwa mkuu wa wilaya Dodoma mjini patrobas katambi ameteuliwa kupeperusha bendera ya ccm ubunge shinyanga mjini
 
Gwajima daa ameula
Ilikuwa lazma gwajima wampe maana alivyoihakaza serikali ya makonda hadi aibu so ili kuficha makucha yake lazma wampe naye ulaji wale pamoja asiongee ongee, finally watakuwa pamoja na makonda ktk baraza la mawaziri lijalo.


Makonda akiwa mbunge wakuteulia atakuwa wazir wa ulinzi na jeshi la kujenga taifa.


Gwajima atakuwa waziri wa mambo ya ndani
 
Ni nderemo muda, baada ya Mwambe Cecil kutangazwa kuwa mgombea wa jimbo l uchaguzi Ndanda.

Bodaboda wanatembea mwendo kasi kuonesha furaha yao.

Nipo karibu na nyumba ya mamake mzazi nakula mbuzi katoliki.


Mwambe oyeeeeee!
 
Back
Top Bottom