johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ndugai ni Spika hadi 2025!Kati ya watu ambao wameishapita wanasubiri kuapishwa Ndungai ni mmoja wao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugai ni Spika hadi 2025!Kati ya watu ambao wameishapita wanasubiri kuapishwa Ndungai ni mmoja wao.
Tarajieni Polepole na Dr Bashiru kujiuzulu leo. Misimamo yao sio sawa na Mwenyekiti. Eti atatushikisha adabu, Thubutu!!Mkuu hawadhubutu kukukata, wanakujua na wakijaribu tu, waoneshe! Unajiunga tu upande wa pili, unafungua watu macho!
Mmekumbukwa bwashee!
Isee wewe unaota, hivi hata wewe unaweza kuliacha lile Land cruiser V8 maposho lukuki, mshahara mnono na kuonana na Rais wakati wowote?Tarajieni Polepole na Dr Bashiru kujiuzulu leo. Misimamo yao sio sawa na Mwenyekiti. Eti atatushikisha adabu, Thubutu!!
Tarajieni Polepole na Dr Bashiru kujiuzulu leo. Misimamo yao sio sawa na Mwenyekiti. Eti atatushikisha adabu, Thubutu!!
Mmekumbukwa bwashee!
Ndugai ni Spika hadi 2025!
Katafuteni shughuri nyingine ya kufanya, kamati kuu jana imeshampitisha Ndugulile, leo Nec inamthibitisha tu.Bashite anapitishwa mapema sana, bashite ndie mmbunge rasmi wa kigamboni 2020-2025
Hakuna jipya, Arusha ni Mrisho Gambo, ccm bila rushwa ni sawa na uji na mgonjwa...
Tulia anafia Mbeya mjini., Ndio mwisho wake pale.Bi. Tulia unamwacha wapi mlamu!
Mimi naitwa Nshoma Masanja.Subiri majina manka!
Mimi nawajuwa vizuri lakini mikakati iliyopo inaniogopesha, halafu hawa jamaa wapo kimya kabisa.Ni hivi......hawatujui vizuri watu wa Chugga....
Wacha tusubiri tuone kwanza.......subira huvuta heri.......
Ndio huyo huyo aliyepitisha jina lake jana, inategemea ameamkaje.Mzee wa kaya hampendi ndungu
Mbona nasikia ana utajiri wa kutisha, ameupataje kama sio kwenye biashara nje ya ajira yake?Msumari wa mwisho kwa Bashite. Siku hizi hana lolote. Kweli vyeo vya CCM vimembeba sana..Yeye kama yeye hana lolote.Hata kujiajiri kashindwa kutwa kuwaambia vijana wenzao wajiajiri.
Wahuni, wauaji, watekaji,
Tuna subiri ngumi majimboniKikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kinakutana leo chini ya Mwenyekiti wake Rais Magufuli. Miongoni mwa agenda ni kupitisha majina ya wagombea wa nafasi za Ubunge na Uwakilishi.
Mkutano utarushwa mubashara na Channel ten na TBC
Up dates;
Wajumbe wa halmashauri kuu tayari wameanza kuingia ukumbini na wengine wanajadiliana hili na lile kwa bashasha.
Kujishughurisha = Kujishughulisha***Makonda is dying horse, hana chake, akajiajiri kama wanavyowashaurigi vijana kwamba ni wavivu na hawapendi kujishughurisha, na uzuri Makonda hana tatizo la mtaji kama walivyo vijana wengi.