Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Subiri uchaguzi uishe. Tuombe uzima tu.
 
Waliosemaga aliyeongoza kawe kura za maoni alibebwa na mjomba wake vipi mbeleko imetoboka?
Hiki ndio Chama Cha Mapinduzi - CCM
Safi sana mwenyekiti John Pombe Magufuli na team yako
Dada binadamu kaumbwa na silika sio kama wanyama...hata waliopo Mirembe nao mida fulani wanaweza kuona aibu!
 
Jimbo la Nyamagana ni heri tumpe komredi John Pambalu wa Chadema kuliko kumpa Mabula aliyeshindwa kulibadilisha jimbo kwa miaka mitano iliyopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…