guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
Hata sijui mkuu,tuwe wavumilivuAsante mkuu....
hivi watataja leo au ndo mpka kesho tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata sijui mkuu,tuwe wavumilivuAsante mkuu....
hivi watataja leo au ndo mpka kesho tena.
Hapa wajumbe wakiufyata basi nitaamini JIWE mchawiHahahaaaa
Shy town matokeo kura ya maoni:
1. Stephen Julius Masele - 152
2. Jonathan Manyama Ifunda - 65
3. Gasper Kileo - 51
4. Patrobas Katambi - 12
Hii ndiyo sihasa...
Subiri uchaguzi uishe. Tuombe uzima tu.Siwaamini 100% Ila Hilo wamelisisitiza mno
Siwezi kuwafananisha na Museven na Kagame Sababu siasa za Tanzania Ni tofauti, hao waliingia madarakani kwa mtutu wa bunduki na katika Historia ya nchi yao hakuna kiongozi aliyeachia madaraka kwa njia za kawaida, Ni kitu Kigeni kwao
Tofauti na Tz ambalo imezoeleka na Magufuli akirefusha Basi ndio atakuwa amevunja mwiko, na kuweka precedence mbaya, na hili linaweza kukigawa chama
Sisemi kuwa Haiwezekani Ila Ni ngumu Sana
Hapo ndipo ninapoamini life is how you make itMWANA FA kama utani dadekii Kesho ndani ya VX la mil 200
Dada binadamu kaumbwa na silika sio kama wanyama...hata waliopo Mirembe nao mida fulani wanaweza kuona aibu!Waliosemaga aliyeongoza kawe kura za maoni alibebwa na mjomba wake vipi mbeleko imetoboka?
Hiki ndio Chama Cha Mapinduzi - CCM
Safi sana mwenyekiti John Pombe Magufuli na team yako
Hahahaa...hii ndiyo sihasa!!!Hapa wajumbe wakiufyata basi nitaamini JIWE mchawi
Kabisa mkuu kama utani me niliona hawezi pata kabisaa duuh...!! Hapo Harmonize anawaza bora na yeye angetangazaa niaaa...Hapo ndipo ninapoamini life is how you make it
Shy mjini Chadema wapo vizuri. Katambi tena mgombea dhaifu kabisa. Chadema hapa wekeni nguvu. Hili jimbo ni lenu.Hapa wajumbe wakiufyata basi nitaamini JIWE mchawi
January Makamba, Nape Nnauye vipi!?
Labda kalizika na mzikiKabisa mkuu kama utani me niliona hawezi pata kabisaa duuh...!! Hapo Harmonize anawaza bora na yeye angetangazaa niaaa...
[emoji848]Naoe katoboaa...!! Makamba sijamuonaa..
Hivi Gwajima na Miss Mdee nani atakuwa nani?Gwajima daa ameula
Ah Magufuli kwa hapa aisee hata Makonda basi kamuonea. Je Babati? yani Gekul kisa ni dem wa Baashiiru basi naye kapewaShy mjini Chadema wapo vizuri. Katambi tena mgombea dhaifu kabisa. Chadema hapa wekeni nguvu. Hili jimbo ni lenu.
Jimbo la Nyamagana ni heri tumpe komredi John Pambalu wa Chadema kuliko kumpa Mabula aliyeshindwa kulibadilisha jimbo kwa miaka mitano iliyopitaBaada ya kikao cha halmashauri kuu kuketi asubuhi, Katibu mkuu mwenezi wa CCM anaongelea yaliyojiri vikao hivyo mpaka kupata majina ya watu wanaowania ubunge kwa tiketi ya chama hicho kwenye majimbo mbalimbali nchi pia wabunge wa viti maalum.
=======
Polepole: Vikao vyote cha jana na leo vilikuwa chini ya mwenyekiti wa CCM. Kikao cha halmashauri kuu kilikuwa na lengo moja na limekamilika. Lengo lilikuwa kufanya uteuzi wa mwisho kwa wagombea wa majimbo na viti maalum. Napenda kuleta taarifa hiyo kwenu kwa maana hawa walioteuliwa leo kwa majimbo na viti maalum.
Walijitokeza 10,367 nafasi za majimbo 264, chama chetu kimeandika rekodi na historia ya kukubalika. Upande wa uwakilishi leo haukufanyika uteuzi kwa sababu ya muingiliano wa ratiba ya NEC. Wagombea 33,094 waliomba kukiwakilisha chama cha mapinduzi kwenye udiwani ilhali nafasi zipo kama elfu nne na kitu na kufanya jumla ya watu 43,461 waliiomba kukiwakilisha chama cha mapinduzi kwenye nafasi mbalimbali.
Wajumbe wa halmashauri kuu wametimiza wajibu wao na kikao kimeeleza wajibu wao wa kusimamia serikali mpaka tumefika hapa, uamuzi walioufanya leo umezingatia watu wabobevu kusimamia maslahi ya watu wetu watakaofanya kazi sambamba na serikali ya chama cha Mapinduzi ambayo tunaenda kuiombea kura.
Kwa kauli moja wajumbe wamefanya uteuzi baada ya kupokea majina kwa watakaokuwa wagombea wa CCM kwa nafasi ya ubunge. Vilikuwepo vingezo na sifa ambazo tumezitumia ikiwemo wanaCCM wanaojitoa kwa chama, tumetafuta yule ambae atatuleta pamoja, wenye mahusiano mazuri na wananchi na wanakubalika na jamii.
Watu ambao wameteuliwa leo wanatakiwa wanatakiwa wafanye maandalizi ya msingi.
Kwenye majimbo wanaCCM ni nidhamu tuendelee kuwa watulivu, wagombea ni wengi hatuwezi kupata wote lakini nawahakikishia kwamba, chama chetu ni kikubwa na fursa zake ni nyingi tuendelee kuwa wanyenyekevu na watulivu, chama kina taarifa zenu.
ARUSHA
Arusha mijini- Mrisho Mashaka Gambo
Arumeru Magharibi- Noah Lebrus Molel
Arumeru Mashariki- John Palangyo
Karatu- Daniel Tlemai
Longido- Stephen Kirusya
Monduli- Fred Lowassa
Ngorongoro- Ole Nasha
DAR
Ubungo- Prof Kitila Kitila
Kibamba- Issa Jumanne Mtemvu
Kinondoni- Abass Tarimba
Kawe- Askofu Josephat Gwajima
Kigamboni- Dr. Faustine Ndugulile
Ilala- Mussa Zungu
Segerea- Bonna Kamoli
Ukonga- Jerry Slaa
Temeke- Doroth Kilave
Mbagala- Abdallah Chaurembo
DODOMA
Bahi- Keneth Nolo
Chamwino- Deo Dejembi
Mvumi- Livingstone Lusinde
Chemba- Mohammed Moni
Dodoma Mjini- Anthony Mavunde
Kongwa- Job Ndugai
Kondoa mji- Ally Juma Makoa
Kondoa Vijijini- Dr. Ashatu Kijaji
Kibakwe- George Simbachawene
Mpwapwa- George Nataly Malima
GEITA
Busanda- Tumaini Magesa
Geita Mjini- Consatantine Kanyasu
Geita vijijini- Joseph Kasheku(Musukuma)
Bukombe- Dotto Bisheko
Chato- Medard Kalemani
Mbogwe- Nicodemas Maganga
Nyang'alwe- Hussein Amar
IRINGA
Iringa Mjini- Jesca Msavatambangu
Kalenga- Jackson Kiswaga
Isimani- William Lukuvi
Kilolo- Lazaro Nyamoga
Mafinga mji- Cosato Chumi
Mufindi Kaskazini- Exaud Kigahe
Mufindi Kusini- David Kihenzile
KAGERA
Bukoba mjini- Stephen Byabato
Bukoba vijijini- Jackson Rweikiza
Nkenge- Frolent Kyombo
Karagwe- Innocent Bashungwa
Kyerwa- Innocent Bilakwate
Ngara- Ndaisaba Luhoro
Bihalamuro- Ezra Chiwelesa
Muleba Kaskazini- Charls Mwijage
Muleba Kusini- Oscar Kikoyo
KATAVI
Mlele- Isack Kamwele
Kavuu- Geophrei Mizengo Pinda
Mpanda Mjini- Sebastian Kapufi
Nsimbo- Anna Lupembe
Mpanda Vijijini- Moshi Kakoso
KIGOMA
Kasuli Mjini- Prof Joyce Ndalichako
Manyovu- Dr. Philip Mpango
Buyungu- Aloyce Kamamba
Muhambwe- Atashasta Nditiye
Kigoma Mjini- Kirumbe Shabani Ng'enda
Kigoma Kaskazini- Asa Nelson Makanika
Kigoma Kusini- Nashon William
Kasulu vijijini- Augustine Hole
KILIMANJARO
Vunjo- Charls Kimei
Siha- Dr. Godwin Mollel
Moshi Vijijini- Prof. Patrick Ndakidemi
Hai- Salasisha Mafue
Same Mashariki- Anne Kilango Malecela
Same Magharibi- Dr. Mathayo David Mathayo
Rombo- Prof. Adolf Mkenda
Moshi Mjini- Priscus Tarimo
Mwanga- Anania Tadayo
LINDI
Kilwa Kaskazini- Ndulane Franscis
Kilwa Kusini- Kasinge Mohammed Ally
Liwale- Zuberi Kuchauka
Lindi Mjini- Hamida Mohammed Abdallah
Mchinga- Salma Kikwete
Mtama- Nape Nnauye
Nachingwea- Amandus Julius Chinguiye
Ruangwa- Kassim Majaliwa
MANYARA
Babati Mijini- Paulina Gekul
Babati vijijini- Daniel Silo
Hanang- Samwel Kadai
Mbulu mji- Isai Paulo
Mbulu vijijini- Flatei Gregory
Kiteto- Edward Kisau
Simanjiro- Christpher Ole Sendeka
MARA
Musoma Mjini- Vedastus Manyinyi
Musoma Vijijini- Prof. Sospeter Muhongo
Bunda Mjini- Robert Chacha Maboto
Bunda Vijijini- Boniface Getere
Mwibara- Charls Kajege
Butiama- Jumanne Sagini
Rorya- Jaffary Wambura Chege
Tarime Mjini- Mwita Michael Kembaki
Tarime Vijijini- Mwita Waitara
Serengeti- Dr. Jeresabi Mkimi
MBEYA
Busekelo- Atupele Mwakibete
Kyela- Ally Jumbe
Lupa- Masache Kasaka
Mbalali- Franscis Mtega
Mbeya Mjini- Dk. Tulia Akson
Mbeya Vijijini- Oran Njeza
Rungwe- Anthony Mwantona
MOROGORO
Mlimba- Godwin Kunambi
Kilombero- Abubakar Asenga
Morogoro mjini- AbdulAziz Abood
Gairo- Ahmed Shabiby
Malinyi- Antipas Mgungusi
Morogoro Kusini- Innocent Kalogeres
Morogoro Mashariki- Hamis Shaaban Taletale
Mvomero- Jonas Vanzilad
Mikumi- Deniss Lazaro Londo
Kilosa- Prof. Palamaganda Kabudi
Ulanga- Salim Hasham
MTWARA
Mtwara Mjini- Mtenga Hassan Selemani
Mtwara Vijijini- Hawa Ghasia
Nanyamba- Abdallah Chikota
Tandahimba- Katani Katani
Newala mjini- George Mkuchika
Newala Vijijini- Maimuna Mtanda
Masasi- Geofrey Mwambe
Lulindi- Issa Mchungahela
Ndanda- Cecil David Mwambe
Nanyumbu- Yahaya Ali Mhata
MWANZA
Ukerewe- Joseph Mkundi
Ilemela- Dkt. Angelina Mabula
Sengerema- Tabasamu Hamis Mwagao
Buchosa- Erick Shigongo James
Nyamagana- Stanslaus Mabula
Misungwi- Alexander Mnyeti
Sumve- Kasalali Emmanuel Mageni
Kwimba- Shanif Mansour
Magu- Bonaventura Kiswaga
NJOMBE
Lupembe- Edwin Sware
Makambako- Deo Sanga
Njombe Mjini- Deodatus Mwanyika
Makete- Festo Sanga
Wanging'ombe- Dk. Festo John Dugange
Ludewa- Kamonga Zakarius
PWANI
Bagamoyo- Muharami Mkenge
Chalinze- Ridhwan Kikwete
Kibiti- Twaha Mpembenue
Kibaha Mjini- Sylvester Koka
Kisarawe- Selemani Jaffo
Mkuranga- Abdallah Ulega
Mafia- Omar Kipanga
Rufiji- Mohammed Mchengelwa
Kibaha Vijijini- Michael Mwakamo
RUKWA
Nkasi Kusini- Vicent Mbogo
Sumbawanga Mjini- Ayeshi Hilal
Kwera- Deus Sangu
Nkasi Kaskazini- Ally Kessy Alimabodi
Kalambo- Josephat Kandege
RUVUMA
Songea Mjini- Dkt. Damas Ndumbaro
Peraminho- Jennister Mhagama
Madaba- Joseph Mhagama
Nyasa- Stella Manyanya
Mbinga Mjini- Jonas Mbunda
Mbinga Vijijini- Benaya Kapinga
Namtumbo- Vita Kawawa
Ulitaka upewe wewe?Ah Magufuli kwa hapa aisee hata Makonda basi kamuonea. Je Babati? yani Gekul kisa ni dem wa Baashiiru basi naye kapewa
Yupi sasa unayetabiri kuchinjwa hapo mkuu?Kawe:Gwagy boy vs mdee
MTU analiwa kichwa asbh tuu