Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Ndugulile alishinda kwenye kura za maoni!!
 
kuna watu mpaka walikuwa wanakera bungeni "Mlinga" aliweka mzaha mbele badala ya kujenga hoja!

wapiga kura wake wameona ujinga kumrudisha
 
Ndugulile alishinda kwenye kura za maoni!!
Mkuu tokana na uwepo wa bashite kwenye lile jimbo naona ni kama bado alikuwa ana hali mbayaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
O
Vipi Mhe Salum Mbuzi a.k.a Jambo wa Meatu kapita?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…