Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Uzi huu ni kurahisisha kujuzana majina ya Wabunge walioangukia pua kwa kupeana Updates na kushare matokeo ya WAJUMBE NA MAAMUZI YA KAMATI KUU..!!

Naanza na Waliokatwa na Kamati..

BASHITE

MWAKYEMBE

MWAMRI

GOODLUCK MLINGA.

LIJUALIKALI

WALIOPINDUA MEZA YANI WALISHINDWA ILA KAMATI IMEWAPITISHA NI.

MWANA FA

NGUDULILE

ERIC SHIGONGO.

Update za Waliopindua meza tu hapa Mods msiunganishe uzi.
Ndugulile alishinda kwenye kura za maoni!!
 
kuna watu mpaka walikuwa wanakera bungeni "Mlinga" aliweka mzaha mbele badala ya kujenga hoja!

wapiga kura wake wameona ujinga kumrudisha
 
Kangi kakatwa mkuu????? Acha utani
Wamekata
Screenshot_20200820-155153_Twitter.jpg
 
Ndugulile alishinda kwenye kura za maoni!!
Mkuu tokana na uwepo wa bashite kwenye lile jimbo naona ni kama bado alikuwa ana hali mbayaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
O
Uzi huu ni kurahisisha kujuzana majina ya Wabunge walioangukia pua kwa kupeana Updates na kushare matokeo ya WAJUMBE NA MAAMUZI YA KAMATI KUU..!!

Naanza na Waliokatwa na Kamati..

BASHITE

MWAKYEMBE

MWAMRI

GOODLUCK MLINGA.

LIJUALIKALI

WALIOPINDUA MEZA YANI WALISHINDWA ILA KAMATI IMEWAPITISHA NI.

MWANA FA

NGUDULILE

ERIC SHIGONGO.

Update za Waliopindua meza tu hapa Mods msiunganishe uzi.
Vipi Mhe Salum Mbuzi a.k.a Jambo wa Meatu kapita?
 
Back
Top Bottom