Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Bunge la 2020/25 kitakuwa na watoto wa vigogo wakiwa wabunge Kama ifutavyo=
1. Mtoto wa kawawa, Vita kawawa
2. Mtoto wa Pinda
3. Mtoto wa Lowasa
4. Mtoto wa Kikwete
5. Mtoto wa Moses mnauye
6. Mtoto wa Mhagama
7. Mtoto wa Makamba
8. Ongezea......
 
Nashindwa kuelewa. HUyu Deadatus Mwanyika si ndio alikuwa na kesi ya kukwepa kodi akalipa faini? Mie nilifikiri CCM hawatampitisha kwa hilo

Yule professor toka huka Tabora [ Kapuya] alikuwa waziri muda mrefu mara ya mwisho alikuwa wa michezo enzi ya Mkapa; alioa kabinti kadogo hivi juzi juzi sijaona jina lake!! Wamemtosa?
 
Bunge la 2020/25 kitakuwa na watoto wa vigogo wakiwa wabunge Kama ifutavyo=
1.mtoto wa kawawa, Vita kawawa
2.mtoto wa Pinda
3.mtoto wa Lowasa
4.mtoto wa kikwete
5. Mtoto wa Moses mnauye
6. Mtoto wa mhagama
7.mtoto wa makamba
8. Ongezea......

9. Mtoto/mjukuu wa Chief Kunambi
10. Mke wa Jakaya Kikwete
 
Bunge la 2020/25 kitakuwa na watoto wa vigogo wakiwa wabunge Kama ifutavyo=
1.mtoto wa kawawa, Vita kawawa
2.mtoto wa Pinda
3.mtoto wa Lowasa
4.mtoto wa kikwete
5. Mtoto wa Moses mnauye
6. Mtoto wa mhagama
7.mtoto wa makamba
8. Ongezea......
Kikwete katoa mtoto na mkwewe kuwa wabunge bado mjukuuu

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Attachments

Bariadi ni andrew John chenge? Au huyu Andrew Mathew ni nani?
 
Yule mbunge wa Shinyanga mjini alikuwa mbunge wa Bunge la Africa naona nae katoswa!!
 
Yule professor toka huka Tabora [ Kapuya] alikuwa waziri muda mrefu mara ya mwisho alikuwa wa michezo enzi ya Mkapa; alioa kabinti kadogo hivi juzi juzi sijaona jina lake!! Wamemtosa?
Kapuya wamekata. Akalee wajukuu
 
Ah Magufuli kwa hapa aisee hata Makonda basi kamuonea. Je Babati? yani Gekul kisa ni dem wa Baashiiru basi naye kapewa
Makonda hajaonewa Kabisa. Gekul kumbe demu wa Bashiru 😂.Sasa kapewa chance atengeneze msingi wa supporters kutoka CCM
 
Chama cha kimataifa ndio hichi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…