Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Nimefurahi Hamis Mwinyijuma aka Gwiji huyu jamaa namtabiria makubwa ikiwa ni pamoja na kupewa Wizara ya Habari Sanaa na Michezo akisaidiwa na Naibu wake Babu Tale.

Hongera Erick James Shigongo wengi hawajui Ila umeitafuta Nafasi hii kwa miaka 15 sasa.

Gwajima Mungu NDIYE ajuaye sisi tutatia shombo tu.

Dr. Kimei hutu naye namtabiria Wizara ya Fedha pale akashirikiane na Dr. Philip Mpango...

CCM ni chama kikubwa sana Kama ilivyo SIMBA katika upande wa timu.
 
Aisee mla kondoo kapita mungu kweli ni wa kila MTU aisee anakusaidia hata kama unataka kuiba kanisani,sasa akapambane na mwenye jimbo lake la kawe
 
Sawa mwana fa mzee wa bado nipo nipo wana kawakilishe wabondei na wasambaa uko kwa bunge mana najua apo unapita tu
 
Kibinafsi nachukua nafasi hii kumpongeza Dr Kimei mtanzania mzalendo kuteuliwa na CCM kugombea Vunjo ambaye aliuthibitishia ulimwengu kuwa hata wazawa Waweza geuza mashirika ya umma ya wazawa yakashindanana ndani na kimataifa kwenye biashara za ushindani

Aliibadilisha CRDB iliyokuwa inakata roho Hadi kuwa benki ya kutegemewa ndani ya nchi na benki ya kwanza ya ndani kuwa na Matawi nje ya Nchi

Hongera Dr Kimei you deserve to be a member of parliament by virtue of your ability

Uwezo wako na performance inakubeba

Mwenye macho hahitaji kuambiwa tazama anahitaji tu kuambiwa angalia CRDB kabla ya Dr Kimei na CRDB Baada ya Dr Kimei Kuingia

I wish you all the Best Dr Kimei
 
Nimefurahi Hamis Mwinyijuma aka Gwiji huyu jamaa namtabiria makubwa ikiwa ni pamoja na kupewa Wizara ya Habari Sanaa na Michezo akisaidiwa na Naibu wake Babu Tale.

Hongera Erick James Shigongo wengi hawajui Ila umeitafuta Nafasi hii kwa miaka 15 sasa.

Gwajima Mungu NDIYE ajuaye sisi tutatia shombo tu.

Dr. Kimei hutu naye namtabiria Wizara ya Fedha pale akashirikiane na Dr. Philip Mpango...

CCM ni chama kikubwa sana Kama ilivyo SIMBA katika upande wa timu.
Naona kama Tarimba atapewa wizara wa Michezo; ana connections, fedha, fitina, anaaminika na mzoefu kwenye hayo mambo. May be FA akawa naibu wake. Ila Tale sidhani
 
Mmetenda haki kwa Mvomero, Morogoro kwa kumuengua Amos Makala. Huyo ni mshenzi na jambazi. Alikuwa RC Mbeya lakini ni hovyooo kabisa. Mwache sasa arudie ujambazi wake tumfunge kirahisi.
Daaah Mkuuu mbona maneno makali sana, Mbona Makalla mtu poa sana Mkuu, niliwahi kuwa naye karibu nikagundua ni Miongoni mwa watu wachache wasiopenda majungu wala fitina. Kikubwa ni mtu wa kujipenda, matanuzi na batta sana lkn hii yako ya leo hapana. Pole sana brother Makalla Shabiki kindaki wa Wanamsimbazi kesho yako ipo ndugu yangu vuta subira.
 
ZANZIBAR HIYOOO
Vipi kuhusu zanzibar?
Screenshot_20200820-180656.jpeg
Screenshot_20200820-180706.jpeg
 
Back
Top Bottom