Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Kibinafsi nachukua nafasi hii kumpongeza Dr Kimei mtanzania mzalendo kuteuliwa na CCM kugombea Vunjo ambaye aliuthibitishia ulimwengu kuwa hata wazawa Waweza geuza mashirika ya umma ya wazawa yakashindanana ndani na kimataifa kwenye biashara za ushindani

Aliibadilisha CRDB iliyokuwa inakata roho Hadi kuwa benki ya kutegemewa ndani ya nchi na benki ya kwanza ya ndani kuwa na Matawi nje ya Nchi

Hongera Dr Kimei you deserve to be a member of parliament by virtue of your ability

Uwezo wako na performance inakubeba

Mwenye macho hahitaji kuambiwa tazama anahitaji tu kuambiwa angalia CRDB kabla ya Dr Kimei na CRDB Baada ya Dr Kimei Kuingia

I wish you all the Best Dr Kimei
Safi sana. Hivyo mnaenda kumuunganisha na Livingstone na Kasheku kukaa pamoja kupanga mipango ya maendeleo.
Akili za kiccm ni sawa na viazi mbatata!
 
Safi sana. Hivyo mnaenda kumuunganisha na Livingstone na Kasheku kukaa pamoja kupanga mipango ya maendeleo.
Akili za kiccm ni sawa na viazi mbatata!
Hayakuhusu hangaikeni na sugu form four failure na Mbowe form six division zero na Mwakanjoka darasa la Saba

CCM hatuna mwenyekiti chama wa taifa wa division zero form six Kama Mbowe wa kwenu
 
Huo ukabila Nchi ni Yetu sote!
Inaweza kuwa ukabila lakini ndo ukweli. Nchi ni yetu sote, pesa ni zetu sote lakini akikabidhiwa mchaga, hazitafika hata siku moja kwetu mie Nkasi. Hazikuwahi kufika miaka yote waliyokuwa Hazina na TRA, lakini najua Kaskazini zilifika.

Wewe unaweza mkabidhi mchaga hata kama ni jamaa yako wa damu akukusanyie mapato na kukutunzia pesa?

Jibu hilo swali bila unafki.
 
Hayakuhusu hangaikeni na sugu form four failure na Mbowe form six division zero na Mwakanjoka darasa la Saba

CCM hatuna mwenyekiti chama wa taifa wa division zero form six Kama Mbowe wa kwenu
Umeuwa mkuu [emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
Hayakuhusu hangaikeni na sugu form four failure na Mbowe form six division zero na Mwakanjoka darasa la Saba

CCM hatuna mwenyekiti chama wa taifa wa division zero form six Kama Mbowe wa kwenu

Mbona una panic [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hivi huyu hata division zero alipata kweli?
Sio LA saba B huyu!

Back
Top Bottom