Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
Hawezi kushindaKuchaguliwa kwa Gwajima kumenikera sana.
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawezi kushindaKuchaguliwa kwa Gwajima kumenikera sana.
Hiyo cooperative ya bodi members ya akina Bob Magani wezi wale waliua benki Dr Kimei aka I brand upya Kama Bob Magani yule alikuwa mwenyekiti wa bodi ya hiyo cooperative Bank kabla haijawa CRDB huyo mtu alitokea mikoa ya kusini ndie aliua hiyo benki Kasim Majaliwa mkamate mkabidhi kwa Magufuli afungwe yeye na akina njelu kasaka nk na menejiment yote ya kipindi kile walioua hiyo cooperative Bank kabla kuwa rebranded Kama CRDB Magufuli kamata wote filisi na weka ndani.Nakuunga mkono na hata Kura kwa sasa zitabadilika
pia atamalizia barbara zote ndogondogo za mitaa ya Kilema, Marangu Mamba na mwika kupandisha mlimani
sijui km anaweza aminika akapewa Uwaziri awamu hii
hata ule mpango wa kupandisha watalii wa ndani na nje kwa kiberenge uliokataliwa na Makamba na Kigwangwala na Makamba kuukataa mpango huo kuna upanuzi wa barabara kuanzia Marangu mtoni, Rombo kuzunguka Mlima kutokea Siha utakamilika
mwisho hivi kirefu cha CRDB ni kipi maana umemsifia sana kabla ya hapo UNAJUA waliipora toka Cooperative !!!!????
Aliiba nn kwaniMmetenda haki kwa Mvomero, Morogoro kwa kumuengua Amos Makala. Huyo ni mshenzi na jambazi. Alikuwa RC Mbeya lakini ni hovyooo kabisa. Mwache sasa arudie ujambazi wake tumfunge kirahisi.
Warangi tumemchoka, akatangaze mpiraDuuh nkamia nae chalii ooho.
Wabunge kazi yao ya kuchapa ni ipi?
Kawe wamepelekewa msanii wa ngono na mla Kondoo waliyemrekodi wenyeweKuchaguliwa kwa Gwajima kumenikera sana.
Kumbuka uko kwenye nyumba ya vioo...uache kuanzisha ugomvi wa mawe, utalala nje ugomvi ukianza. Ooohooo!!!Mbona una panic [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hivi huyu hata division zero alipata kweli?
Sio LA saba B huyu!
View attachment 1543214
STD 7, huku kwetu Kanda ya ziwa tunapenda Sana wale wa darasa la Saba.Hamisi tabasamu jamaaa jimbo la sengereama amelifukuzia sana miaka na miaka alihamia chadema 2015 but kapitishwa na ccm tajiri tabasamu
Alidharau vipi TZ, hebui fafanua.Huyu masele alipata kiburi Sana baada ya kuwa makamu wa rais wa bunge la Africa. Aliidharau Sana tz.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Natoa shukurani kwa kamati kuu taifa na Halmashauri kuu kwa kuwacha maamuzi yale yale ya wajumbe hakika tumeshinda tukutane mjengoni!Kila la kheri ushindi wetu ubaki kama wajumbe walivyoamua!
wakwanza alitoa rushwaRushwa ilitumika
Amepita au hajapita?Kupendwa na Rais mstaafu hakuna faida kwa chama.
Mkuu, unajimu ni kazi ngumu sana.Sifahamu kwa nini uzi huu unalazimishwa kuunganishwa hata sehemu ambazo hazihusiki. Mods semeni kama humu tunatakiwa kusifia tu Upinzani.
Niwape hongera kwa sababu kwa mwaka huu kupitishwa tu kugombea Ubunge na CCM ni kupitishwa kuwa Mbunge.
Hasa wale ambao walikataliwa na wajumbe ile kuta ya Veto ikawarudisha.hawa uhakika wa kupita kwenye Ubunge ni mkubwa zaidi sababu wameonekana kuhitajika.
Sasa tunafahamu kuwa Halima Mdee analiacha jimbo kwa Ndugu Gwajima. Na majimbo mengine wale waliopitishwa ndio watakaoshinda.
Uhakika wa CCM kushinda Majimbo ya Ubunge ni Asilimia zaidi ya 90 wakiyaachia mawili matatu kwa vyama rafiki ambavyo vinaonekana kukubaliana na sera na mwenendo wa serikali iliyoko madarakani.
Moderator hamna sababu ya ku delete uzi huu. Nmeandika ninachokifahamu na ntaweka kumbukumbu.CCM ITASHINDA UBUNGE KWA ZAIDI YA ASILIMIA 90.
NA UDIWANI PIA.
HONGERENI WABUNGE MLIOPITISHWA KUWA WABUNGE.