Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Hayakuhusu hangaikeni na sugu form four failure na Mbowe form six division zero na Mwakanjoka darasa la Saba

CCM hatuna mwenyekiti chama wa taifa wa division zero form six Kama Mbowe wa kwenu
Wee mchumia tumbo embu muulize spika wako Ndugai Nani alikuwa anamuazima material akikupa jibu uje ufute uharo wako hapa
 
Mama wa rushwa Mary Mwanjelwa imekuwaje? Mwenye taarifa atuwekee hapa tafadhali.
 
Watumishi wa umma mateso ya miaka 5 ya hakuna increments, kupanda vyeo (walimu),ongezeko la mshahara,kutolipwa malimbikizo yenu n.k iwe ni fundisho na akili zenu kuikataa ccm kwa nguvu zote.Familia zenu ziikatae ccm.

Msiwapigie kura ya urais,wabunge wala madiwani.Ndiyo wadhalilishaji wenu
 


Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kinakutana leo chini ya Mwenyekiti wake Rais Magufuli. Miongoni mwa agenda ni kupitisha majina ya wagombea wa nafasi za Ubunge na Uwakilishi...

Du huyu wa Mkinga Dastan Kitandula bado yumo,hili jina nilianza kusikia karne iliyopita nikiwa kijana barobaro
 
Dk Harson Mwakyembe
Steven Masele
Andrew Chenge
Charlece Tizeba
Manguli wa siasa za kibunge?
 
Back
Top Bottom