Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Mwenyekiti anarejesha majina ya marafiki zake wote licha ya report za Takukuru kuwashutumu kwa vitendo vya Rushwa, huo mchujo wa kamati kuu ni haramu siyo wa haki utaleta manung’uniko mengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…