Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mpinzani hapoGwajima ndani ya nyumba. Mdee kapata mpinzani halisi...
Sasa huu wakuwatangaza hata wapili au wamwisho inakuwaje?
Nani kapitishwa Arusha???Arusha lema jimbo lipo wazi
Mrisho.Nani kapitishwa Arusha???
Mwenyekiti anarejesha majina ya marafiki zake wote licha ya report za Takukuru kuwashutumu kwa vitendo vya Rushwa, huo mchujo wa kamati kuu ni haramu siyo wa haki utaleta manung’uniko mengi sanaLicha ya ukongwe wa chama lakini hakitambui umuhimu wa "delegation of authority" kwa kuwa hizi teuzi za udiwani zilipaswa kuishi ngazi za wilaya ama mkoa. Sasa kamati kuu ya halmashauri kuu ya taifa kuhodhi kila hatua ya uteuzi wa wagombea hata hizi za chini za uongozi, hizo ni dalili za kutoviamini vikao vya chini vya kimaamuzi.
Mwenyekiti Taifa kuja na majina yake ya mfukoni, kinyume na matakwa ya wajumbe ktk ngazi za chini ndicho kitu ambacho kinaigharimu CCM kila mara. BTW sikio la kufa halisikii dawa.
Mkonda atafaa. Ndungulile yuko kwenye list.Chadema wamchukue ndungulile
Huyo kila mwaka anagombea anapigwachini .mbowe anapita saa 4 asubuhiHAI-Mafue