Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Gambo mbona kapita Arusha pamoja na Rushwa.

Lowassa Jr. Kapita

Kitila Kibamba

Kawe Gwajima

Kigamboni Ndungiulile
 
Replica, Licha ya ukongwe wa chama lakini hakitambui umuhimu wa "delegation of authority" kwa kuwa hizi teuzi za udiwani zilipaswa kuishi ngazi za wilaya ama mkoa. Sasa kamati kuu ya halmashauri kuu ya taifa kuhodhi kila hatua ya uteuzi wa wagombea hata hizi za chini za uongozi, hizo ni dalili za kutoviamini vikao vya chini vya kimaamuzi.

Mwenyekiti Taifa kuja na majina yake ya mfukoni, kinyume na matakwa ya wajumbe ktk ngazi za chini ndicho kitu ambacho kinaigharimu CCM kila mara. BTW sikio la kufa halisikii dawa.
 
Back
Top Bottom