Mansour karudiNatamani kuona kwetu kwimba ukiyapata nitag
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mansour karudiNatamani kuona kwetu kwimba ukiyapata nitag
January je?MWAKYEMBE KAPIGWA ZA USOO...
MAKONDA ZA USOOO....
STEVEN WASIRAA ZA USOO...
MZEE WA SOMAA HIYOOO MWAMRI.. KAPIGWAA CHINI.
WALIOPINDUA MEZA MPAKA SASA..
MWANA FA
ERIC SHIGONGO
MZEE WA UPAKO
NDUGULILEE[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Both will score mzeeeYupi sasa unayetabiri kuchinjwa hapo mkuu?
Maana naona kama wote wana mapafu ya kuongea na wana mdomo sana.
Acha wivu, hata we mmeo angekuwa na mamlaka angekuteua tu kikubwa ni unajituma vp mkiwa faraghayani Gekul kisa ni dem wa Baashiiru basi naye kapewa
Unawajua watu wa tunduma vzr?? Wale ata waekewe tofari na mgombea yoyote wa ccm litapita tofari mapema asubuhi! Kwanza uyo Silinde ata kwao hawamtaki sembuse tunduma kwenye vichwa ngumu.Mwakajoka anakazi ngumu sana tunduma kapelekewa silinde ,silinde anakubalika na Chadema na CCM hili Jimbo gumu
Kavae dela siasa huziweIKwa hivi vichwa upinzani tafuteni njia mbadala za kujipatia riziki.. Ubunge imekula kwenu
Life is abrakadabraLife haitabiriki leo mwana fa ana huakika wa kuingia mjengoni wakati sugu hana huakika wa kubaki mjengoni.
Wamemchuna ngozi aseeeInamaana juma nkamia hajapita?..kusifia kote kule aisee
Aisee uyo ata kuja kutingishwa na DIWANI wake 2025 I guess BukabaMansour karudi
[emoji23]Inamaana juma nkamia hajapita?..kusifia kote kule aisee
Uzi huu ni kurahisisha kujuzana majina ya Wabunge walioangukia pua kwa kupeana Updates na kushare matokeo ya WAJUMBE NA MAAMUZI YA KAMATI KUU..!!
Naanza na Waliokatwa na Kamati..
BASHITE
MWAKYEMBE
MWAMRI
GOODLUCK MLINGA.
LIJUALIKALI
WALIOPINDUA MEZA YANI WALISHINDWA ILA KAMATI IMEWAPITISHA NI.
MWANA FA
NGUDULILE
ERIC SHIGONGO.
Update za Waliopindua meza tu hapa Mods msiunganishe uzi.
Mwana wa mfalme kapinduliwaa..Usikurupuke kuandika vitu hujui
Ndungulile alishindwa wapi na lini?
Shigongo alishindwa?
Duuh nkamia nae chalii ooho....Mpuuzi mmoja anaitwa nkamia juma nae kaliwa kichwa
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mpuuzi mmoja anaitwa nkamia juma nae kaliwa kichwa
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app