Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Movie imekamilika we endelea kulia kulia.Yani kuiga kwingi mwisho wake ni aibu! Commando gani anayetembea huku anapumzika 😂😂
Kwa unavyodhani kati ya yanga na kikwete nani mkubwa?Huyu mzee wetu ajiangalie atakuwa hapati mwaliko kwa akili za uto zilivyo
Mpaka sasa Yanga wanaongoza goli mbili bila.Ngapi ngapi mpaka sasa?
Mpaka sasa Yanga wanaongoza goli mbili bila.
Dakika 80.
Halafu wamechukua madereva wa uber wamewavalisha jezi, yule aliyepewa kadi mi namjuaYanga wanachekesha..wanacheza na timu nusu lakini wanajisifu eti tonombe Ni hatari[emoji23][emoji23][emoji23]
Mpaka sasa Yanga wanaongoza goli mbili bila.
Dakika 80.
Kikosi kilichoifunga simba na hiki kizito kipi, nenda kwa daktari akupime presha.Kwa hii Yanga ninayoiona sasa, nikiifanisha na Simba niliyoiona kwenye Simba day, kiukweli kabisa, Yanga bado sana hususani kwenye umaliziaji. Yanga hawako smart kabisa kwenye kufunga.
Yote kwa yote, Refa wa mchezo kaharibu mpira kwa kutoa kadi nyekundu. Mantiki ya Yanga kujipima nguvu na kukipima kikosi chao haipo tena. Matokeo yoyote hapo yanawapa Simba nafasi ya kukosoa na kuikejeli Yanga.
Huyu ndio walimbeba siku ile?Huyu waziri Juma kiwango hafifu.sajiri mbovu
hrefa naye fala kukimbilia kutoa red card ameharibu mpira
Konde Boy Anaugulia KiunoHahahaaa
Aibu sana hii yanaharibu mpira hawa yanga, hii yanga hii ikikutana na mnyama hawaponi hawa nakwambia angalia jamaa wako nusu lakini wamewadhibiti vizuri sana wachezaji wa yanga naona wanakimbia ovyo hawana mipango kabisa. Kipindi Cha pili jamaa walikuwa na utulivu mkubwa sana.Kwa hii Yanga ninayoiona sasa, nikiifanisha na Simba niliyoiona kwenye Simba day, kiukweli kabisa, Yanga bado sana hususani kwenye umaliziaji. Yanga hawako smart kabisa kwenye kufunga.
Yote kwa yote, Refa wa mchezo kaharibu mpira kwa kutoa kadi nyekundu. Mantiki ya Yanga kujipima nguvu na kukipima kikosi chao haipo tena. Matokeo yoyote hapo yanawapa Simba nafasi ya kukosoa na kuikejeli Yanga.
Itakua hamuamini kilichotokea poleni na kuchanganyikiwa.Aibu sana hii yanaharibu mpira hawa yanga, hii yanga hii ikikutana na mnyama hawaponi hawa nakwambia angalia jamaa wako nusu lakini wamewadhibiti vizuri sana wachezaji wa yanga naona wanakimbia ovyo hawana mipango kabisa. Kipindi Cha pili jamaa walikuwa na utulivu mkubwa sana.