Yaliyojiri kilele cha wiki ya mwananchi uwanja wa Mkapa

Kwa hii Yanga ninayoiona sasa, nikiifanisha na Simba niliyoiona kwenye Simba day, kiukweli kabisa, Yanga bado sana hususani kwenye umaliziaji. Yanga hawako smart kabisa kwenye kufunga.

Yote kwa yote, Refa wa mchezo kaharibu mpira kwa kutoa kadi nyekundu. Mantiki ya Yanga kujipima nguvu na kukipima kikosi chao haipo tena. Matokeo yoyote hapo yanawapa Simba nafasi ya kukosoa na kuikejeli Yanga.
 
Mpaka sasa Yanga wanaongoza goli mbili bila.
Dakika 80.
FB_IMG_15988099630744427.jpg
 
Kwa hii Yanga ninayoiona sasa, nikiifanisha na Simba niliyoiona kwenye Simba day, kiukweli kabisa, Yanga bado sana hususani kwenye umaliziaji. Yanga hawako smart kabisa kwenye kufunga.

Yote kwa yote, Refa wa mchezo kaharibu mpira kwa kutoa kadi nyekundu. Mantiki ya Yanga kujipima nguvu na kukipima kikosi chao haipo tena. Matokeo yoyote hapo yanawapa Simba nafasi ya kukosoa na kuikejeli Yanga.
Kikosi kilichoifunga simba na hiki kizito kipi, nenda kwa daktari akupime presha.
 
Yule straika aliyebebwa mpaka muda kafunga mangapi?
 
Kwa hii Yanga ninayoiona sasa, nikiifanisha na Simba niliyoiona kwenye Simba day, kiukweli kabisa, Yanga bado sana hususani kwenye umaliziaji. Yanga hawako smart kabisa kwenye kufunga.

Yote kwa yote, Refa wa mchezo kaharibu mpira kwa kutoa kadi nyekundu. Mantiki ya Yanga kujipima nguvu na kukipima kikosi chao haipo tena. Matokeo yoyote hapo yanawapa Simba nafasi ya kukosoa na kuikejeli Yanga.
Aibu sana hii yanaharibu mpira hawa yanga, hii yanga hii ikikutana na mnyama hawaponi hawa nakwambia angalia jamaa wako nusu lakini wamewadhibiti vizuri sana wachezaji wa yanga naona wanakimbia ovyo hawana mipango kabisa. Kipindi Cha pili jamaa walikuwa na utulivu mkubwa sana.
 
Itakua hamuamini kilichotokea poleni na kuchanganyikiwa.
 
Back
Top Bottom