Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Kwa hii Yanga ninayoiona sasa, nikiifanisha na Simba niliyoiona kwenye Simba day, kiukweli kabisa, Yanga bado sana hususani kwenye umaliziaji. Yanga hawako smart kabisa kwenye kufunga.
Yote kwa yote, Refa wa mchezo kaharibu mpira kwa kutoa kadi nyekundu. Mantiki ya Yanga kujipima nguvu na kukipima kikosi chao haipo tena. Matokeo yoyote hapo yanawapa Simba nafasi ya kukosoa na kuikejeli Yanga.