Yaliyojiri: Kongamano la Katiba: 15 Januari 2011 Nkrumah UDSM

:frog:

Halafu haka kamama (Kombani) wnaaume wanaongea point za msingi zinazomuhusu kuweka mjadala wa sheria bungeni wa tume huru kanachekacheka kikuda.

Sijui kana mimba changa haka?
 
Kumbe wale walio nje ya ukumbi wanafuatilia kupitia TV iliyowekwa hapo nje!!
 

tuko pamoja mkuu ila umeme umenichakachua.
 
Kuna mdau wa CCM anazomewa live...
 
Kuna mchangiaji anazomewa baada ya kuongelea ishu ya maaskofu!!!
 
Ndugu Kitila Mkumbo, hivi hamna wachangiaji wanawake humu ndani??
 
Hoja ipelekwe bungeni ili wananchi waelimike na wajue nani wanapinga katiba mpya..
 
sio kazi ya polisi kuwafanya wananchi waipende serikali..
 
ITV waanze kwenda na wakati wafungue account youtube na kupost some of these videos..... kama kuna jamaa yake Mengi naomba afikishe huu ujumbe.
 
mwangalie vizuri huyu ndo marelia sugu
kUMBE WAPO KILA MAHALI HAWA WATU...
Mi nilidhani huwa wanajificha nyuma ya pc tu, kumbe wana courage hata ya kwenda kwenye mihadhara..huh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…