Kaongea mwanzo lakini wengine hawachangii ingawa wamejaa ukumbini sijui kwa nini! Au ndio inferiority complex au wanaogopa kuzomewa, maaana humo ukumbini ukiteleza tu.....ni zomezomea tu!!!!!
Yule Mbunge aliyetaka kupeleka kupeleka hoja binafsi kuhusu Katiba apewa somo na Issa, asijaribu kufanya hivyo.
Anasemaje mwanaBeijing huyo?..na ni nani?Mdada wa kwanza ndio anachangia..........mchakato wa muda mrefu unahitajika, jamaa wanamzomea!!
Amechangia mmoja na mama Ananilea Nkya ndio anakaribishwa...........Zote zaweza kuwa sababu,pengine wasiitwe viherehere kama mimi kwa kuuliza au kutaka explanation???
Huko mbele tutawaona nina imani,suala la katiba halibagui jinsia.shukrani Katavi!
Inferiority complex.Zote zaweza kuwa sababu,pengine wasiitwe viherehere kama mimi kwa kuuliza au kutaka explanation???
Huko mbele tutawaona nina imani,suala la katiba halibagui jinsia.shukrani Katavi!
Katiba ya Soth Africa imeandaliwa kwa miaka 100..and is the best in Africa right now!
KWANINI?????? :angry:
Si jambo la kupuuza hilo...Wenzetu kule wanamaanisha...inabidi litazamwe kwa umakini stahiki hili!:smile-big:
Du Prof kutoka ZENJI kaua...Muungano umekosa uhallali kama katiba maana haukutokana na matakwa ya wananchi
Ahahahahaaaah kuna mchangiaji toka Zanzibar anasema according to katiba mdahalo huu ni batili.
Mdada wa kwanza ndio anachangia..........mchakato wa muda mrefu unahitajika, jamaa wanamzomea!!
Zote zaweza kuwa sababu,pengine wasiitwe viherehere kama mimi kwa kuuliza au kutaka explanation???
Huko mbele tutawaona nina imani,suala la katiba halibagui jinsia.shukrani Katavi!
Ugomvi mkubwa huu...nadhani hawa wanaishi mtaa mmoja na walinyimana chumvi!Inferiority complex.
Si jambo la kupuuza hilo...Wenzetu kule wanamaanisha...inabidi litazamwe kwa umakini stahiki hili!
duuu nimeamini kweli katiba ni tatizo kubwa sana.ahahahahaaaah kuna mchangiaji toka zanzibar anasema according to katiba mdahalo huu ni batili.
Nani???
Endelea kutujuaza anasemaje huyo mama?Mama Nkya anapinga mjadala kutawaliwa na wanawake tu
Maoni yangu: Humo ukumbini wamejaa lakini hawaonekani kama wanataka kuchangia, sasa hapo huyu mama anasemaje?? Wahamasishwe basi.