Yaliyojiri: Kongamano la Katiba: 15 Januari 2011 Nkrumah UDSM

Yaliyojiri: Kongamano la Katiba: 15 Januari 2011 Nkrumah UDSM

Kaongea mwanzo lakini wengine hawachangii ingawa wamejaa ukumbini sijui kwa nini! Au ndio inferiority complex au wanaogopa kuzomewa, maaana humo ukumbini ukiteleza tu.....ni zomezomea tu!!!!!

Zote zaweza kuwa sababu,pengine wasiitwe viherehere kama mimi kwa kuuliza au kutaka explanation???
Huko mbele tutawaona nina imani,suala la katiba halibagui jinsia.shukrani Katavi!
 
Ahahahahaaaaaah jamaa anauliza eti wananchi tuwafanye nini wale wanaopinga katiba mpya. Viongozi waombe radhi na wajiuzulu!
 
:smile-big:

Du Prof kutoka ZENJI kaua...Muungano umekosa uhallali kama katiba maana haukutokana na matakwa ya wananchi
 
Zote zaweza kuwa sababu,pengine wasiitwe viherehere kama mimi kwa kuuliza au kutaka explanation???
Huko mbele tutawaona nina imani,suala la katiba halibagui jinsia.shukrani Katavi!
Amechangia mmoja na mama Ananilea Nkya ndio anakaribishwa...........
 
Zote zaweza kuwa sababu,pengine wasiitwe viherehere kama mimi kwa kuuliza au kutaka explanation???
Huko mbele tutawaona nina imani,suala la katiba halibagui jinsia.shukrani Katavi!
Inferiority complex.
 
:smile-big:

Du Prof kutoka ZENJI kaua...Muungano umekosa uhallali kama katiba maana haukutokana na matakwa ya wananchi
Si jambo la kupuuza hilo...Wenzetu kule wanamaanisha...inabidi litazamwe kwa umakini stahiki hili!
 
Ahahahahaaaah kuna mchangiaji toka Zanzibar anasema according to katiba mdahalo huu ni batili.

Jamaa njaa imemshika...nadhani wamruhusu akale. Nilimuunga mkono kdiogo kwa kukosekana uhalali wa Muungano maana katiba haina uhalali kwa kutotokana na wananchi, ila hili la Mjadala kukosa uhalali, nadhani nja imemshika mpaka uwezo wake wa kufikiri umeshuka
 
Mama Nkya anapinga mjadala kutawaliwa na wanawake tu
Maoni yangu: Humo ukumbini wamejaa lakini hawaonekani kama wanataka kuchangia, sasa hapo huyu mama anasemaje?? Wahamasishwe basi.
 
Hakuna sehemu yeyote naweza pata mjadala huu kwa kusikia mimi mwenyewe hata baadae?
 
Si jambo la kupuuza hilo...Wenzetu kule wanamaanisha...inabidi litazamwe kwa umakini stahiki hili!

Ni kweli Mkuu, kuna mtu mmoja aliwahi kutania kuwa ulikuwa Muungano wa Nyerere and Karume na kampani zao za karibu maana wananchi hawakuwa na fursa ya kusema waukubali Muungano au la!! Nadhani ndicho prof huyu anachomaanisha.

Na leo wakisema walete kura ya maoni ya Muungano uwepo au usiwepo, spati picha ngoma itachezekaje............
 
Mama Nkya anapinga mjadala kutawaliwa na wanawake tu
Maoni yangu: Humo ukumbini wamejaa lakini hawaonekani kama wanataka kuchangia, sasa hapo huyu mama anasemaje?? Wahamasishwe basi.
Endelea kutujuaza anasemaje huyo mama?
 
Back
Top Bottom