Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,628
- 3,535
Kaongea mwanzo lakini wengine hawachangii ingawa wamejaa ukumbini sijui kwa nini! Au ndio inferiority complex au wanaogopa kuzomewa, maaana humo ukumbini ukiteleza tu.....ni zomezomea tu!!!!!
Zote zaweza kuwa sababu,pengine wasiitwe viherehere kama mimi kwa kuuliza au kutaka explanation???
Huko mbele tutawaona nina imani,suala la katiba halibagui jinsia.shukrani Katavi!