UDOM nao inabidi wabadilike kwakeli!waige mfano huo!
Jamani wana JF Prof Shivji ameongea kwenye kongamano leo kwamba kupeleka hoja ya katiba mpya bungeni ni hatari kwani CCM watachukua advantage ya uwingi wao bungeni kuikwamisha,does it make sense,kweli bado tuna bunge la watu wa kujali maslahi ya chama,naomba michango kwa hili.
Kutokana na dhamira ya Mnyika kupeleka hoja ya katiba mpya bungeni, mtoa mada wa leo Prof. ISSA SHIVJI amewaonya CHADEMA kuwa suala hilo wasilipeleke bungeni kwani hatari yake ni kuwa suala hilo litatekwa na CCM kwa vile wao ni wengi na kuamua walitakalo. Alisema ya kwamba CDM wafikirie zaidi ya jambo hilo kuliko hivi sasa ambapo wanaonyesha wanajadili mambo ya katiba kwa jazba na kishabiki
Ahsante Shivji kwa kuwa mkweli.
Huo ni ushauri na si uumbuaji. Badilisha heading ya topic isomeke: Shivji aishauri Chadema isipeleke hoja ya katiba bungeni.
Kutokana na dhamira ya Mnyika kupeleka hoja ya katiba mpya bungeni, mtoa mada wa leo Prof. ISSA SHIVJI amewaonya CHADEMA kuwa suala hilo wasilipeleke bungeni kwani hatari yake ni kuwa suala hilo litatekwa na CCM kwa vile wao ni wengi na kuamua walitakalo. Alisema ya kwamba CDM wafikirie zaidi ya jambo hilo kuliko hivi sasa ambapo wanaonyesha wanajadili mambo ya katiba kwa jazba na kishabiki
Ahsante Shivji kwa kuwa mkweli.
crap!! mtapona lini mtindio wa ubongo nyie wa%$££££nge vibaraka wa mafisadi?
Hakumuumbua tu Mnyika pekee yake! alimuumbua hata Tundu Lisu kwa kutumia jazba nyingi kwenye mambo yanayohitaji tafakuri ya kina, uchambuzi na uvumilivu.
kwa hiyo chadema itumie nguvu ya umma siyo.....
Shivji shivji hongera sana kwa kuwaumbua hawa vihiyo wasio jua kitu bana, wanao fuata mkumbo bana !
Kumbe hata kule Diamond Jubilee kwenye kikao cha waisilamu (aka baraza la kahawa) mlikuwa mnafuatilia yanayoongelewa Nkrumah? Safi sana!Neno zuri ni uumbuaji kwani CHADEMA nzima hawakuliona hili, duh kweli CHADEMA ni chama kichanga kisiasa sana !
neno zuri ni uumbuaji kwani chadema nzima hawakuliona hili, duh kweli chadema ni chama kichanga kisiasa sana !
Naomba next time ukipata hii chance ya kuangalia utumegee na sisi kidogo ambao hatukuweza kuangalia kwenye TV