Kutokana na dhamira ya Mnyika kupeleka hoja ya katiba mpya bungeni, mtoa mada wa leo Prof. ISSA SHIVJI amewaonya CHADEMA kuwa suala hilo wasilipeleke bungeni kwani hatari yake ni kuwa suala hilo litatekwa na CCM kwa vile wao ni wengi na kuamua walitakalo. Alisema ya kwamba CDM wafikirie zaidi ya jambo hilo kuliko hivi sasa ambapo wanaonyesha wanajadili mambo ya katiba kwa jazba na kishabiki
Ahsante Shivji kwa kuwa mkweli.
Mkuu, hivi haukujua kwamba ule ni mjadala? Wote wangekuwa na mawazo sawa huoni kusingekuwa na haja ya kujadili? Mi sichukulii kama ni kuumbua kama ulivyoweka title, bali ni ushauri wa Shivji tena mzuri sana kwani alitoa sababu ya kwamba ikienda bungeni, CCM watapinga kila kilicho cha wapinzani hata suala zuri la katiba, ndio maana akashauri waachiwe wananchi nje ya bunge. Aliweka bayana kwamba ni rahisi kumshinikiza rais kuliko kulishinikiza bunge. Sasa hapo amemuumbua wapi Mnyika? Halafu kuna watu humu walikuwa wanapinga katiba mpya, baada kuona rais amelazimika kuikubali, wanaanza kupinga CHADEMA! Katiba ni suala la kitaifa, si la chama, ndio maana kuna wanaharakati wengi mle wamehudhuria bila ya kupitia mwavuli wa chama, na hata UDASA walioandaa mjadala si chama cha siasa!
Wingi sio hoja hapo!Great hongera Shivji, pale mjengoni sijajua hasa nia ya Mnyika, maana katika maazimio yoyote yatakayotakiwa ccm watashinda kwa wingi wao.
mleta mada shenzi taip zako! Uwe unaunganisha mada na taito kwa ufasaha
Neno zuri ni uumbuaji kwani CHADEMA nzima hawakuliona hili, duh kweli CHADEMA ni chama kichanga kisiasa sana !
Nguvu ya umma hamna tena, CHADEMA kwiiiiiiiiiiiiiiiiisha wameumbuka leo vibaya , looooh.
Great hongera Shivji, pale mjengoni sijajua hasa nia ya Mnyika, maana katika maazimio yoyote yatakayotakiwa ccm watashinda kwa wingi wao.
Nguvu ya umma hamna tena, CHADEMA kwiiiiiiiiiiiiiiiiisha wameumbuka leo vibaya , looooh.
Mada ipo wazi kabisa na inaeleweka, tatizo ni ushabiki wa chama na ndio unakuuma , pole kijana leo wajuzi wa mambo wamewaumbua bana !
Kutokana na dhamira ya Mnyika kupeleka hoja ya katiba mpya bungeni, mtoa mada wa leo Prof. ISSA SHIVJI amewaonya CHADEMA kuwa suala hilo wasilipeleke bungeni kwani hatari yake ni kuwa suala hilo litatekwa na CCM kwa vile wao ni wengi na kuamua walitakalo. Alisema ya kwamba CDM wafikirie zaidi ya jambo hilo kuliko hivi sasa ambapo wanaonyesha wanajadili mambo ya katiba kwa jazba na kishabiki
Ahsante Shivji kwa kuwa mkweli.
Oooooooh amewaumbua bana wapenda umaarufu wa kisiasa kumbe hawajui watendalo bana !
Machoni pako unaona wameumbuka.Chadema walipowasha moto wa katiba hukuona? Mbona husemi JK kaumbuka na tume yake? Hoja ya sasa Katiba iwashirikishe wananchi wote siyo ya Tume ya JK. Na ukumbuke ilani yenu ccm haina hoja ya katiba mpya.
Mnyika alikuwa anatafuta umaarufu, na humu JF waona mbali tulisha muonya hilo kabla ya Shivji, naona vibaraka wake walikuwa wanabisha tu, hawakumpelekea ujumbe.
Zombies supporting each other.Mnyika alikuwa anatafuta umaarufu, na humu JF waona mbali tulisha muonya hilo kabla ya Shivji, naona vibaraka wake walikuwa wanabisha tu, hawakumpelekea ujumbe.