fundimchundo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2010
- 739
- 1,032
Kutokana na dhamira ya Mnyika kupeleka hoja ya katiba mpya bungeni, mtoa mada wa leo Prof. ISSA SHIVJI amewaonya CHADEMA kuwa suala hilo wasilipeleke bungeni kwani hatari yake ni kuwa suala hilo litatekwa na CCM kwa vile wao ni wengi na kuamua walitakalo. Alisema ya kwamba CDM wafikirie zaidi ya jambo hilo kuliko hivi sasa ambapo wanaonyesha wanajadili mambo ya katiba kwa jazba na kishabiki
Ahsante Shivji kwa kuwa mkweli.
Jenerali Ulimwengu alimaliza pale pale aliposema "...inafika mahali mtu anateuliwa kuwa mkuu wa wilaya au mkoa... kwa sababu ni hawala yake..., mteliwa huyo wananchi wakimpelekea malalamiko anawajibu hovyo hovyo atakavyo kwa sababu tu hawezi kuwajibishwa na hawala yake..! Watu ukumbini walishangiliaje, inaonekana kama ilimgusa mtu pale!
Jenerali alipendekeza wakuu wa wilaya na mikoa wachaguliwe na wananchi wa eneo husika ili awajibike kwao moja kwa moja na umma uwe na sauti ya mwisho katika matumizi ya rasilimali za eneo lao. Nili ipenda sana hoja hii! Big up Ulimwengu!

hongera comrade kwa kutoa mchango muhimu katika kuweka misingi ya tanzania mpyatunapenda kuwataarifu wananchi ambao hawataweza kufika ckd kuwa kongamano la katiba kesho litaonyeshwa moja kwa moja na kituo cha televisheni cha itv. Tunawashukuru sana itv kwa moyo wa uzalendo.
Karibuni
kitila
Nadhani ni katibu kata huyu bwana.Uko sensitive na umaarufu. Nakushauri tafuta elimu ya complexity za binadamu unaweza kutatua tatizo lako linalokusumbua la kujiona au kujilinganisha na watu wengine.