PMNBuko
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 967
- 154
Richard Kasesera.........
Vipi, Wana JF asante kwa kutujuza mambo nyeti haya. Vipi Mjadala umekwisha mbona kimya??
Leta mambo tafadhali, huku kebo wamekata huduma!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Richard Kasesera.........
Je na mimi naruhusiwa kukujibu :smile-big:Mtatuona tu,huo si ndo mwanzo??? Huyo Celina Kombani hajaongea??@Katavi
eeeeetiii eeee mbona jk ni mmoja wao, au mmesahau alisema nini kwenye mdahalo wake.hoja ipelekwe bungeni ili wananchi waelimike na wajue nani wanapinga katiba mpya..
Mengi ni member wa hapa mahali, na anakuwa mtandaoni kwa masaa mengi kuliko wewe!...you can take my word to a commercial bank!ITV waanze kwenda na wakati wafungue account youtube na kupost some of these videos..... kama kuna jamaa yake Mengi naomba afikishe huu ujumbe.
kichwani zipo kwani!?kumbe wapo kila mahali hawa watu...
Mi nilidhani huwa wanajificha nyuma ya pc tu, kumbe wana courage hata ya kwenda kwenye mihadhara..huh!
Kaongea mwanzo lakini wengine hawachangii ingawa wamejaa ukumbini sijui kwa nini! Au ndio inferiority complex au wanaogopa kuzomewa, maaana humo ukumbini ukiteleza tu.....ni zomezomea tu!!!!!Mtatuona tu,huo si ndo mwanzo??? Huyo Celina Kombani hajaongea??@Katavi
Hopefully sio Zomba, Jeykei wa Ukweli au MS....Mengi ni member wa hapa mahali, na anakuwa mtandaoni kwa masaa mengi kuliko wewe!...you can take my word to a commercial bank!
Je na mimi naruhusiwa kukujibu :smile-big:
naye aliiingizaje hayo mambo!anashangaa eti maaskofu kumpinga meya nadhani anaongelea ishu ya arusha......baada ya kutoa kauli hiyo alizomewa vibaya mno!
Vipi, Wana JF asante kwa kutujuza mambo nyeti haya. Vipi Mjadala umekwisha mbona kimya??
Leta mambo tafadhali, huku kebo wamekata huduma!!
Je na mimi naruhusiwa kukujibu :smile-big:
Sijui.....labda ushabiki.naye aliiingizaje hayo mambo!