Yaliyojiri: Kongamano la Katiba: 15 Januari 2011 Nkrumah UDSM

Yaliyojiri: Kongamano la Katiba: 15 Januari 2011 Nkrumah UDSM

hoja ipelekwe bungeni ili wananchi waelimike na wajue nani wanapinga katiba mpya..
eeeeetiii eeee mbona jk ni mmoja wao, au mmesahau alisema nini kwenye mdahalo wake.
 
ITV waanze kwenda na wakati wafungue account youtube na kupost some of these videos..... kama kuna jamaa yake Mengi naomba afikishe huu ujumbe.
Mengi ni member wa hapa mahali, na anakuwa mtandaoni kwa masaa mengi kuliko wewe!...you can take my word to a commercial bank!
 
Mtatuona tu,huo si ndo mwanzo??? Huyo Celina Kombani hajaongea??@Katavi
Kaongea mwanzo lakini wengine hawachangii ingawa wamejaa ukumbini sijui kwa nini! Au ndio inferiority complex au wanaogopa kuzomewa, maaana humo ukumbini ukiteleza tu.....ni zomezomea tu!!!!!
 
Yule Mbunge aliyetaka kupeleka kupeleka hoja binafsi kuhusu Katiba apewa somo na Issa, asijaribu kufanya hivyo.
 
Vipi, Wana JF asante kwa kutujuza mambo nyeti haya. Vipi Mjadala umekwisha mbona kimya??

Leta mambo tafadhali, huku kebo wamekata huduma!!

Bado unaendelea dakika kama ishirini zimebaki.
 
Mwanamke wa kwanza anaongea,au nimekosea??
 
Mdada wa kwanza ndio anachangia..........mchakato wa muda mrefu unahitajika, jamaa wanamzomea!!
 
wakuu,nahamu ningefuatilia kongamano ila nipo job(kazi za wahandisi) naombeni mtujuze kila kisemwacho
 
Tafakuri yangu: Kama Bunge haliwezi kushinikizwa na Wananchi, haki itatendeka vipi huku wawakilishi wetu wengi ni CCM ambao haeataki mabadiliko? Je Hoja ya katiba inaweza kujadiliwa Bungeni ikapitishwa, Mnyika anaweza kubadili mawazo hapo??
 
Yule Mbunge aliyetaka kupeleka hoja binafsi kuhusu Katiba apewa somo na Issa, asijaribu kufanya hivyo.
 
Ahahahahaaaah kuna mchangiaji toka Zanzibar anasema according to katiba mdahalo huu ni batili.
 
Back
Top Bottom