Yaliyojiri: Kongamano la Katiba: 15 Januari 2011 Nkrumah UDSM

Yaliyojiri: Kongamano la Katiba: 15 Januari 2011 Nkrumah UDSM

Mchangiaji mmoja anasema kunahitajika maandamo ya nchi nzima kwa sababu viongozi wetu sio wasikivu!!
 
Hili ni tatizo wanahabari wetu ni wazembe na ni kama picha tu...., Ingebidi mtu hii aiweke kwenye youtube au kwenye CD..

Kwani ni special task kwa waandishi wa habari?

Unaonaje uikaweka you tube, labda kama wewe si mtu.
 
vpi anataka kadhi iingizwe kwenye katiba?....
Muafaka wa zanzibar ni kituko, maana umekigawa chama cha cuf bara na visiwani!..hahahaaaa
hilo hata wao cuf wanalijua ningependa sana kama muafaka wa cuf na ccm uwe mpaka bara wapewe pia uwaziri.
 
Midahalo haiwezi kuleta katiba mpya, njia nyepesinyepesi tusizitumie kudai katiba mpya............
Huyu jamaa sijui anataka damu immwagike!!!!
 
kwani ni special task kwa waandishi wa habari?

Unaonaje uikaweka you tube, labda kama wewe si mtu.
aweke vipandevipande au?? Umeme wenyewe huu, hapo ni itv wafanye mambo tuu!
 
Midahalo haiwezi kuleta katiba mpya, njia nyepesinyepesi tusizitumie kudai katiba mpya............
Huyu jamaa sijui anataka damu immwagike!!!!
He is very right...Watu wengi wanaona ugumu kuhudhuriaa midahalo na makongamano...
Inabidi hii kitu iwe CUSTOMER-TAILORED zaidi...kama inawezekana ishuke kwenye level za kaya, mtaa na such things!..
Si maandamano broda!
 
Ugomvi mkubwa huu...nadhani hawa wanaishi mtaa mmoja na walinyimana chumvi!

Of course siwezi mpa shoga chumvi.Hakuna ugomvi nachojua katumwa kuja kuondoa watu kwenye kujadili hoja ya msingi.....kalipwa tshs 500 ya kufungulia jioni.Mjadala uendelee......:car::car:
 
Hapo analenga nini hasa watu wafanye nini kwanini Midahalo kama hiyo isiwasaidie watu kuelewa nini lengo la Katiba mpya.
Midahalo haiwezi kuleta katiba mpya, njia nyepesinyepesi tusizitumie kudai katiba mpya............
Huyu jamaa sijui anataka damu immwagike!!!!
 
midahalo haiwezi kuleta katiba mpya, njia nyepesinyepesi tusizitumie kudai katiba mpya............
Huyu jamaa sijui anataka damu immwagike!!!!
kachoka huyo. Ila kwakweli nchi inachosha hii!
 
Ni yepi maadili ya taifa yatakayotuongoza katika uandikaji wa katiba mpya-------Mzee Ibrahim Kaduma.
 
Of course siwezi mpa shoga chumvi.Hakuna ugomvi nachojua katumwa kuja kuondoa watu kwenye kujadili hoja ya msingi.....kalipwa tshs 500 ya kufungulia jioni.Mjadala uendelee......:car::car:
wE...Wee...weeee!
Akija hapa na zile ndevu usianze kuita mamaaa!!!
 
Tunaelekea mwisho wa mjadala..
Jenerali anashukuru kwa wote waliochangia na waliohudhuria.
 
Ni yepi maadili ya taifa yatakayotuongoza katika uandikaji wa katiba mpya-------Mzee Ibrahim Kaduma.
Ishu ni hapo sasa...wenye kauli za NGUVU hawapo...walihama nchi...
Walihitajika sana watu wa namna hii, hasa kwa muda wa utulivu kama huo!
 
Back
Top Bottom