Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ni tatizo wanahabari wetu ni wazembe na ni kama picha tu...., Ingebidi mtu hii aiweke kwenye youtube au kwenye CD..
hilo hata wao cuf wanalijua ningependa sana kama muafaka wa cuf na ccm uwe mpaka bara wapewe pia uwaziri.vpi anataka kadhi iingizwe kwenye katiba?....
Muafaka wa zanzibar ni kituko, maana umekigawa chama cha cuf bara na visiwani!..hahahaaaa
For what the Hell!Maandamano nchi nzima...
KWANINI?????? :angry:
Utapata, usicheze mbali na thread hii...utapata audio, hiyo isikupe shida kabisa!
Profesa rwaitama yupo.
aweke vipandevipande au?? Umeme wenyewe huu, hapo ni itv wafanye mambo tuu!kwani ni special task kwa waandishi wa habari?
Unaonaje uikaweka you tube, labda kama wewe si mtu.
Kudai katiba mpya, eti njia rahisi rahisi kama midahalo na mijadala haiwezi kuleta katiba mpya (maoni ya mchangiaji).For what the Hell!
He is very right...Watu wengi wanaona ugumu kuhudhuriaa midahalo na makongamano...Midahalo haiwezi kuleta katiba mpya, njia nyepesinyepesi tusizitumie kudai katiba mpya............
Huyu jamaa sijui anataka damu immwagike!!!!
Ugomvi mkubwa huu...nadhani hawa wanaishi mtaa mmoja na walinyimana chumvi!
Midahalo haiwezi kuleta katiba mpya, njia nyepesinyepesi tusizitumie kudai katiba mpya............
Huyu jamaa sijui anataka damu immwagike!!!!
Japokuwa ni mwanaCCM!Azaveli LWAITAMA is stil a doctor,
i like him az aktivist,very radical
kachoka huyo. Ila kwakweli nchi inachosha hii!midahalo haiwezi kuleta katiba mpya, njia nyepesinyepesi tusizitumie kudai katiba mpya............
Huyu jamaa sijui anataka damu immwagike!!!!
wE...Wee...weeee!Of course siwezi mpa shoga chumvi.Hakuna ugomvi nachojua katumwa kuja kuondoa watu kwenye kujadili hoja ya msingi.....kalipwa tshs 500 ya kufungulia jioni.Mjadala uendelee......:car::car:
Ishu ni hapo sasa...wenye kauli za NGUVU hawapo...walihama nchi...Ni yepi maadili ya taifa yatakayotuongoza katika uandikaji wa katiba mpya-------Mzee Ibrahim Kaduma.