Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kutoka Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma: Kampeni za Dkt. Magufuli kusaka urais 2020-2025

Mtakaompigia kura ni watu Kama wewe ila Mimi na familia Yangu na ukoo wetu Mwaka huuu asahau, hana hata asilimia kumi Ya kuwa rais, anafokea watu utadhani ana utindio wa ubongo
Tupo pamoja Ni kubaliki uovu na kuumiza kwa watu,yaani kushiriki mateso ya watz wenzio
 
Huyu Admin wa page ya CDM amepanic eeeh 😂 😂
1600424452542.png
 
Nyimbo zipo youtube kama Unazitaka pale lake Tanganyika ni sera tupu
Vipi baada ya ccm kuifungia wasafi vipi diamond bado anatumbuiza kutoa show kwwenye kampeni najua Mbeya lzm tujae fiesta ya bure ya ccm
 
Nasikia Makamu wenu yule Mwalimu anafanya vikao vya kata sio kampeni,Et ndo kwa Idadi hii mtamshinda JPM kweli?
Mwl.jpg
 
Hajuna km Tundu Lissu....

Hatumtaki dikteta mharibifu wa uchumi wa nchi na watu wake mshamba na limbukeni wa ndege.....
 
Nasikia Makamu wenu yule Mwalimu anafanya vikao vya kata sio kampeni,Et ndo kwa Idadi hii mtamshinda JPM kweli?
View attachment 1573282
Labda nikufundishe tu kuwa, watu unaowaona Kwa Salum Mwalimu ni wengi Sana kuzid unaowaona kwa magufuli, Salum Mwalimu anakutana na watu kwenye kata, kumbuka kuwa huwa kata ina watu zaid ya Mia Tatu had Mia tano, hivyo ukiangalia huwa wanazid Mia Tatu na hao wote ni wapiga kura Kwa asilimia tisini na wameenda Kwa hiari yao na watapiga kura Kwa lisu, Lakini Kwa magufuli anachukua watu toka wilaya zote za Mkoa Husika na wafanyakaz wanaolazimishwa Kwa nguvu, wanaccm wote wanapaswa kuwepo, wanafunzi wanaopelekwa Kwa nguvu na wale wanaoenda Kwa ajiri Ya wasaniii, maaana yake nikwamba ukiwagawanya Kwa kila Kata hawawez fika Mia Lakini pia kumbuka hao hao idadi kubwa haitampigia kura magufuli Kama hao wafanyakaz wanaolazimishwa kuwepo kwenye mikutano ata wana Ccm wengi hawatampigia kura pasipo kuwa wote wanakuwepo kwenye hiyo mikutano nimekuelewesha kisayansi
 
Well said
 
"Nimeona mmenionyesha picha, simngemuonyesha mwenyewe jamani."

/Rais Magufuli. MGOMBEA URAIS KWA TIKETI CHA CCM, MHE. DKT. JOHN P. MAGUFULI AKIOMBA KURA - #KIGOMA
5.png
 
Nonsense, kwani hizo ndege Jiwe kanunua kwa pesa zake toka mfukoni,Zitto hata akizipanda nae ni mlipa kodi wa Tz
 
Back
Top Bottom