Lutandagula
JF-Expert Member
- Apr 8, 2018
- 1,762
- 2,154
Tuma picha yako tuone mvuto wakoMagufuli anafoka foka tu Hana mvuto wala haiba Ya kuwa rais na anajua kuwa hapati kura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuma picha yako tuone mvuto wakoMagufuli anafoka foka tu Hana mvuto wala haiba Ya kuwa rais na anajua kuwa hapati kura
Mtakaompigia kura ni watu Kama wewe ila Mimi na familia Yangu na ukoo wetu Mwaka huuu asahau, hana hata asilimia kumi Ya kuwa rais, anafokea watu utadhani ana utindio wa ubongoTuma picha yako tuone mvuto wako
Tupo pamoja Ni kubaliki uovu na kuumiza kwa watu,yaani kushiriki mateso ya watz wenzioMtakaompigia kura ni watu Kama wewe ila Mimi na familia Yangu na ukoo wetu Mwaka huuu asahau, hana hata asilimia kumi Ya kuwa rais, anafokea watu utadhani ana utindio wa ubongo
Magu kiboko yaoooooo
Wasanii washaannza kutumbuiza?
Maana hakuna sera ni nyimbo tu za wasanii.
Magufuli anafoka foka tu Hana mvuto wala haiba Ya kuwa rais na anajua kuwa hapati kura
Vipi baada ya ccm kuifungia wasafi vipi diamond bado anatumbuiza kutoa show kwwenye kampeni najua Mbeya lzm tujae fiesta ya bure ya ccmNyimbo zipo youtube kama Unazitaka pale lake Tanganyika ni sera tupu
Vipi baada ya ccm kuifungia wasafi vipi diamond bado anatumbuiza kutoa show kwwenye kampeni najua Mbeya lzm tujae fiesta ya bure ya ccm
Bila wasanii lkn.Nyie bila Ali kiba mtabaki wenyeweNasikia Makamu wenu yule Mwalimu anafanya vikao vya kata sio kampeni,Et ndo kwa Idadi hii mtamshinda JPM kweli?
View attachment 1573282
Labda nikufundishe tu kuwa, watu unaowaona Kwa Salum Mwalimu ni wengi Sana kuzid unaowaona kwa magufuli, Salum Mwalimu anakutana na watu kwenye kata, kumbuka kuwa huwa kata ina watu zaid ya Mia Tatu had Mia tano, hivyo ukiangalia huwa wanazid Mia Tatu na hao wote ni wapiga kura Kwa asilimia tisini na wameenda Kwa hiari yao na watapiga kura Kwa lisu, Lakini Kwa magufuli anachukua watu toka wilaya zote za Mkoa Husika na wafanyakaz wanaolazimishwa Kwa nguvu, wanaccm wote wanapaswa kuwepo, wanafunzi wanaopelekwa Kwa nguvu na wale wanaoenda Kwa ajiri Ya wasaniii, maaana yake nikwamba ukiwagawanya Kwa kila Kata hawawez fika Mia Lakini pia kumbuka hao hao idadi kubwa haitampigia kura magufuli Kama hao wafanyakaz wanaolazimishwa kuwepo kwenye mikutano ata wana Ccm wengi hawatampigia kura pasipo kuwa wote wanakuwepo kwenye hiyo mikutano nimekuelewesha kisayansiNasikia Makamu wenu yule Mwalimu anafanya vikao vya kata sio kampeni,Et ndo kwa Idadi hii mtamshinda JPM kweli?
View attachment 1573282
Well saidLabda nikufundishe tu kuwa, watu unaowaona Kwa Salum Mwalimu ni wengi Sana kuzid unaowaona kwa magufuli, Salum Mwalimu anakutana na watu kwenye kata, kumbuka kuwa huwa kata ina watu zaid ya Mia Tatu had Mia tano, hivyo ukiangalia huwa wanazid Mia Tatu na hao wote ni wapiga kura Kwa asilimia tisini na wameenda Kwa hiari yao na watapiga kura Kwa lisu, Lakini Kwa magufuli anachukua watu toka wilaya zote za Mkoa Husika na wafanyakaz wanaolazimishwa Kwa nguvu, wanaccm wote wanapaswa kuwepo, wanafunzi wanaopelekwa Kwa nguvu na wale wanaoenda Kwa ajiri Ya wasaniii, maaana yake nikwamba ukiwagawanya Kwa kila Kata hawawez fika Mia Lakini pia kumbuka hao hao idadi kubwa haitampigia kura magufuli Kama hao wafanyakaz wanaolazimishwa kuwepo kwenye mikutano ata wana Ccm wengi hawatampigia kura pasipo kuwa wote wanakuwepo kwenye hiyo mikutano nimekuelewesha kisayansi
🤣 🤣 🤣 🤣 acha hasira. Sio ugomvi.So what?
Bila wasanii lkn.Nyie bila Ali kiba mtabaki wenyewe
Ha ha ha, jamaa wakiguswa kidogo tu wanakuwa wakali kweli kweli.🤣 🤣 🤣 🤣 acha hasira. Sio ugomvi.