Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀 😀 😀 nimecheka km mazurikuna mtu humu aliwahi kusema kwamba Ruge ni mali ya umma sasa nimeamini maneno yake.......huyu jamaa hana mwenyewe ati ukimtaka unampata...
Hataoa hata Mmoja Wao! Ujinga mtupu!
kuna mtu humu aliwahi kusema kwamba Ruge ni mali ya umma sasa nimeamini maneno yake.......huyu jamaa hana mwenyewe ati ukimtaka unampata...
kuna mtu humu aliwahi kusema kwamba Ruge ni mali ya umma sasa nimeamini maneno yake.......huyu jamaa hana mwenyewe ati ukimtaka unampata...
RipSijui nani ndio mmiliki halali
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
HahahaTatizo bei ya mkaa
Duuh
YALIYOTOKEA JANA NI AIBU...
Sorry to say ila Siamini kama Wanawake wanaweza kukosa akili kwa kiwango hiki...Nilijua Maturity ya Wanawake comes with age lakini nadhani I was wrong!
Wanawake mna utu na dhamani ya asili mliyopewa na Mungu...kwanini wengi wanashindwa kutunza heshima hiyo kubwa?......Alafu washabiki wakubwa wa haya (wachochezi) ni wanawake wenyewe......
Pesa zinapelekea kufanya yote haya......bila kujali vizazi vyenu wakianza watoto wenu watashuhudia haya kupitia mitandao hii hii.......mishipa ya aibu imewakatika enhe?......Don't care enhe?...Haya bana.....endelezeni ujanja ujanja wa mjini ili maisha yasogee lakini UTU ukichakaa umechakaa.....wapo wanawake wengi wa mfano....inawezekana...
Tafuta namna ya kusimama mwenyewe kwa miguu yako na uridhike kuishi kwa jasho lako ili ulinde utu wako......
DuuRuge n muunin wa sarekal tatu kwa vitendo
Mmililki halali ni Mama Ruge, Hao wengine wanagombea ndizi na mgomba si wao!
Mwenzao alihenyeka Labor kwa uchungu siku kama hiyo, wao wanajishaua tu huko insta.....na kwa akili hizo atawapanga mpaka Morogoro.....kama Kenya vile....full mbanano hahahaaaaaaa!
PESA PESA angekua hanaa wala hata lakin Zamarad nae ashakosa mwanaume acha tu amshikilie ruge hana pa kwenda
Mi sikuachi mahiii 😁Mwamba aliacha wajane wengi sana.....
Sijui Nimepita Je nakujikuta hapa, huku nikijiuliza hivi Zamaradi ndio hupendaga hivi... Alipo weka lile bang na Mumewe hivi hakuwa iwapo akiona hii post kama hatomwamini🥱🥱😁Baba JuhJuh